David Mwaibula kapotelea wapi....? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

David Mwaibula kapotelea wapi....?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mbonea, Sep 30, 2009.

 1. Mbonea

  Mbonea JF-Expert Member

  #1
  Sep 30, 2009
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 640
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wadau,

  Najua mtakuwa mnamkumbuka sana huyu "mheshimiwa" kwa style aliyokuja nayo ya kupiga ufito wa rangi tofauti tofauti kwa kila daladala za jijini ili iwe rahisi kwa abiria kutambua gari husika linapoishia kitu ambacho mikoa mingine ilikuja ikaiga. Pongezi zake!

  Lakini ilikuaje akapoteza nafasi yake na kupewa mtu mwengine?

  Na je, mchango wake haukuwa "effective" to the extend of being withdrawn?

  Where his he right now?

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. N

  Nanu JF-Expert Member

  #2
  Sep 30, 2009
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 1,224
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Hii ni bongo. Ukitaka kutolewa kafara basi uwe mchapa kazi katika kundi la wapiga domo na wavivu. Haya ndiyo yaliyompata Mwaibula, alikuwa kiongozi siyo mtawala na ndiyo maana alisimamia alichosema. Labda hana godfather katika hii nchi iliyojaa nepotism.
   
 3. Mbonea

  Mbonea JF-Expert Member

  #3
  Sep 30, 2009
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 640
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ha ha ha! Nampa pole yake kwa kweli
   
 4. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #4
  Sep 30, 2009
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  yupo tu hapa mjini daily tunagongana naye huku Sinza kwenye sebule yetu pale T Garden
   
 5. Mbonea

  Mbonea JF-Expert Member

  #5
  Sep 30, 2009
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 640
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ooh! Thanx 4 info.
   
 6. Mwana va Mutwa

  Mwana va Mutwa JF-Expert Member

  #6
  Sep 30, 2009
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 429
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  nadhani anavuta pumzi za kumng'oa mbega pale iringa mjini
   
 7. Mbonea

  Mbonea JF-Expert Member

  #7
  Sep 30, 2009
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 640
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33

  eeh.
   
 8. Josh Michael

  Josh Michael JF-Expert Member

  #8
  Sep 30, 2009
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,525
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Jamani Amekwenda Zake IRINGA KULIMA NYANYA.
   
 9. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #9
  Sep 30, 2009
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ....Duh!! Nakumbuka alikuwa na dala dala lake kubwa akaliita City Train linaenda njia zote hapa mjini...Jioni tunakutana King Star Bar Sinza anajitobolesha!!!! I like him alibuni kitu kizuri sana kuhusu hizi route za dala dala na rangi zake!!!
   
 10. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #10
  Sep 30, 2009
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,635
  Trophy Points: 280
  Mkuu Mbonea

  David Mwaibula style yake ya kufanyakazi haitakiwi Tanzania.Nchi yetu inataka blah blah nyingi ukionekana unafanyakazi lazima utaondolewa kwenye system.
   
 11. Mwana va Mutwa

  Mwana va Mutwa JF-Expert Member

  #11
  Sep 30, 2009
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 429
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  labda ndio maana kaamua kwenda kuliendeleza jimbo la iringa mjini akifanikiwa katika mbio zake
   
 12. The Spit

  The Spit JF-Expert Member

  #12
  Sep 30, 2009
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  what a pitty!.......badala ya kumsikitikia personally mimi naisikitikia nchi yangu,am hurting so much ~
   
 13. Dr. Chapa Kiuno

  Dr. Chapa Kiuno JF-Expert Member

  #13
  Sep 30, 2009
  Joined: Sep 11, 2009
  Messages: 445
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0

  Ha ha ha! kwa hiyo madili yake haya kuweka mianya ya rushwa ili watu wale?
   
 14. Josh Michael

  Josh Michael JF-Expert Member

  #14
  Sep 30, 2009
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,525
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  The guys was very conservative mkuu wangu mbonea katika mambo yake na ndio maana leo katika usafiri wa jiji umeweza kukaa vizuri sana katika utaratibu wake
   
 15. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #15
  Sep 30, 2009
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,382
  Likes Received: 3,141
  Trophy Points: 280
  huyu bwana alikubalika sana sisi wananchi wa kawaida hatukuona mapungufu zaidi ya kuona umahili wake ulivyokuwa na ndio maana tunamkumbuka........tumtakie kila la kheri.........angerudishwa angefanya zaidi ila kama aliwakosea wakubwa basi imekula kwake..............
   
 16. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #16
  Sep 30, 2009
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Mwaibula was one of the hopeless people. Alikuwa na siasa za design ya Makamba, hakuna lolote la maana alilofanya. Tatizo la usafiri kuwa shaghalabagala Dar es salaa haliwezi kushughulikiwa kwa kupaka magari rangi, kunatakiwa njia yenye akili zaidi kama wanazotumia wenzetu wa nchi zilizoendelea. Sioi Mwaibula style, na akienda Iringa huenda atapiga kelele kelele tu, naona anfaa kufanya kazi ofisi moja na Makamba!
   
 17. Mbonea

  Mbonea JF-Expert Member

  #17
  Sep 30, 2009
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 640
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  mhh......... hopeless tena!
   
 18. w

  wasp JF-Expert Member

  #18
  Sep 30, 2009
  Joined: Aug 19, 2009
  Messages: 206
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Well done Mr. Mwaibula and enjoy your retirement time. Every sensible daladala bus comuter in DSM appreciates what you did.
   
 19. kilemi

  kilemi JF-Expert Member

  #19
  Sep 30, 2009
  Joined: Mar 13, 2009
  Messages: 521
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mnamkumbuka A.L.Mrema, nae alikuwa hivyo hivyo kwa mafisadi, Kwani sasa yuko wapi?
   
 20. K

  Kekuye Senior Member

  #20
  Sep 30, 2009
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 116
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bongolander sidhani kama unamtendea haki Mwaibula kwa kulinganisha mfumo wa usafiri Tanzania na nchi zilizoendelea wakati akiwa madarakani. Ungetathmini 'u-hopelessness' wake kwa kulinganisha hali ilivyokuwa nzuri au mbaya kabla hajaingia madarakani na hali ilivyokuwa wakati anamaliza muda wake. Kuilinganisha Tanzania na nchi zilizoendelea katika hili ni sawa na kumlinganisha tembo na sisimizi.
   
Loading...