Kama utan Ila Kuna kaa ukweli hapo maana wengi waliopo huko kunafikirisha Sana kwenye kauli zao.Hii nchi ni shamba la bibi hakuna mwenye habari nayo, watz wachache wajanja karibuni ccm tuitafune nchi.
Nchi hii ukiwa na pesa,nafasi,connection
Assad alifukuzwa baada ya kutaka kukagua shirika la ndege!CAG anasema nini kuhusu hili?
Assad alifukuzwa baada ya kutaka kukagua shirika la ndege!
Tofauti ya kibaka wa kuku au simu na takataka za jalalani Ni kwamba kibaka Ni maskini halafu kamwibia maskini na kesi inasikilizwa na hakimu wa mahakama ya mwanzo ambaye Ni maskiniNa hapo bado hujamalizia:
Kibaka kaiba kuku 1
Jela miaka 7
Haka ka Malisa bora kakae kimya tu!
Ameambiwa anyofoe kidogo kwenye burungutu alilokwapuaBosi wa zamani wa ATCL, David Mataka amehukumiwa kwenda jela miaka minne ama kulipa faini ya Sh milioni 8 baada ya kukutwa na hatia ya matumizi mabaya ya ofisi na kusababishia shirika hasara ya Sh bilioni 100.
Hii kitu Iko wazi kama ya mbuzi yaaniTofauti ya kibaka wa kuku au simu na takataka za jalalani Ni kwamba kibaka Ni maskini halafu kamwibia maskini na kesi inasikilizwa na hakimu wa mahakama ya mwanzo ambaye Ni maskini
(KUMBUKA MASKINI HAWAPENDANI) ndio maana hakimu maskini anatoa adhabu ya kumkomoa maskini kwenda kwenye jela ya kimaskini wilayani.
Kesi za wezi wenye pesa zinasikilizwa na Hakimu mkazi (Wahaya samahani) au jaji.
Sote tunajua majaji hawana njaa isitoshe wasio na njaa WANAPENDANA halafu huwa wanakutana klab au Kuna kitu wanaita OLD BOYS NETWORK hii Ni grup la watu wenye influence. Where ukiwa na shida na jaji Fulani Kuna mtu kwenye network ambae walisoma wote au wameoleana au walishaiba wote. (Kumbuka network ya maskini Ni ya wacheza singeli au vigodoro au wacheza bao au wanywa wanzuki au wamama wa vikoba yaani hakuna mwenye kumjua hata mkuu wa wilaya )
Hawawezi kutunga sheria itakayowageuka. Unadhani kwa nini hawataki katiba mpya? Wanajua ikipita tu utwala wa CCM ndiyo mwisho. Kilangila.Acha tu mkuu
Haya masihara
Wanafanya,kwa style hii
Upigaji hauwezi isha
Bora watunge sheria ya kunyonga
Ova
CCM oyee,jamaa na ufisadi Ni damudamu.
hizo mambo walitakiwa kusoma pamoja na hiyo hukumu ya mil.8 inavyoonekana hkn walichomchukuliaKama walishamfanyia confiscation ya baadhi mali zilizotokana na hasara aliyotia hiyo inaweza kuwa adhabu
Vinginevyo hayo ni masihara
Majizi ccm yanalindanaHaka ka Malisa bora kakae kimya tu!
Si ndio haka kalikuwa kanaandika vimakala kila siku vya kumdemkia mama?