David Mataka apandishwa kizimbani kwa kosa la matumizi mabaya ya ofisi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

David Mataka apandishwa kizimbani kwa kosa la matumizi mabaya ya ofisi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Sajenti, Nov 23, 2011.

 1. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #1
  Nov 23, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Aliyekuwa mkurugenzi wa shirika la ndege Tanzania (ATCL) Davidi Mataka amepandishwa kizimbani katika mahakama ya hakimu mkazi Kisutu akituhumiwa kwa matumizi mabaya ya ofisi.

  Tuhuma hizo pia zinahusisha ubadhilifu wa pesa zaidi ya sh. Bilioni 1 zilizotumika kununua magari chakavu.

  Chanzo: Mwananchi
   
 2. MwafrikaHalisi

  MwafrikaHalisi JF-Expert Member

  #2
  Nov 23, 2011
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 1,746
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  ukameruni je? 28-58 Over
   
 3. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #3
  Nov 23, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ...Huenda ndio starehe aliyochagua yeye atajiju na hao wanao-mcameroon lakini kwenye ufisadi lazima akutane na pilato!!
   
 4. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #4
  Nov 23, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Sajant bana hii taarifa iliripotiwa humu tangu jana karibu threads kumi.
   
 5. M

  Mr. Clean Senior Member

  #5
  Nov 23, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 195
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  rubani ka-pop-in wanted! 28-58 Over...
   
 6. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #6
  Nov 23, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ...Ipotezeee Ndiba...then check spelling za ID yangu bana!!
   
Loading...