David Mataka wa ATCL, ahukumiwa kulipa faini Tsh milioni 8 kwa kulisababishia hasara ya Tsh Bilioni 71 shirika

Hukumu nyingine bana zina hamasisha ufisadi gharama za kesi huenda ni zaidi ya hiyo 8mil
 
Ndio maana kuna wakati wengine wanaona JPM hii nchi ilimfaa sana aiongoze ndio vile tu mapenzi ya Mungu.... watu kama hawa hukumu zao hazipaswa kuwa za kutumia hizi sheria hapana....hukumu zao zinapaswa kuwa za mfukoni kutokea ikulu..... Ikulu inapaswa kuwa na hukumu za watu hawa...huyu angekula kama miaka 500 hivi akifa anasaidiwa na next of kin na akifa naye anasaidiwa na next of kin mpama 500yrs zetu zinaisha... ikiwezekana kuwe na sheria za kimafia za gizani yaani mahakama ikikutia tu hatiani kesi inaishia hapo na hukumu inatoka juu ufungwe wewe na mkeo, kama una watoto wako 18yrs+ nao wachezee kifungo ikiwezekana kila member wa familia aliyenufaika na wizi wako mpaka michepuko....Pumbavu kabisa...
 
Yaani hakimu aliyesomea sheria anahukumu Hadi mkulima Kijijini anasikitika! Bora huyo hakimu nae afungwe tu kwa kuungana na mtuhumiwa kuhujumu nchi!
 
Nchi hii ukiwa na pesa,nafasi,connection
Hufungwi hata upige Matrilion
Karibu pizza mshana😂😂😂

Ova

IMG-20210815-WA0003.jpg
 
Na hapo bado hujamalizia:
Kibaka kaiba kuku 1
Jela miaka 7
Tofauti ya kibaka wa kuku au simu na takataka za jalalani Ni kwamba kibaka Ni maskini halafu kamwibia maskini na kesi inasikilizwa na hakimu wa mahakama ya mwanzo ambaye Ni maskini
(KUMBUKA MASKINI HAWAPENDANI) ndio maana hakimu maskini anatoa adhabu ya kumkomoa maskini kwenda kwenye jela ya kimaskini wilayani.
Kesi za wezi wenye pesa zinasikilizwa na Hakimu mkazi (Wahaya samahani) au jaji.
Sote tunajua majaji hawana njaa isitoshe wasio na njaa WANAPENDANA halafu huwa wanakutana klab au Kuna kitu wanaita OLD BOYS NETWORK hii Ni grup la watu wenye influence. Where ukiwa na shida na jaji Fulani Kuna mtu kwenye network ambae walisoma wote au wameoleana au walishaiba wote. (Kumbuka network ya maskini Ni ya wacheza singeli au vigodoro au wacheza bao au wanywa wanzuki au wamama wa vikoba yaani hakuna mwenye kumjua hata mkuu wa wilaya )
 
Tofauti ya kibaka wa kuku au simu na takataka za jalalani Ni kwamba kibaka Ni maskini halafu kamwibia maskini na kesi inasikilizwa na hakimu wa mahakama ya mwanzo ambaye Ni maskini
(KUMBUKA MASKINI HAWAPENDANI) ndio maana hakimu maskini anatoa adhabu ya kumkomoa maskini kwenda kwenye jela ya kimaskini wilayani.
Kesi za wezi wenye pesa zinasikilizwa na Hakimu mkazi (Wahaya samahani) au jaji.
Sote tunajua majaji hawana njaa isitoshe wasio na njaa WANAPENDANA halafu huwa wanakutana klab au Kuna kitu wanaita OLD BOYS NETWORK hii Ni grup la watu wenye influence. Where ukiwa na shida na jaji Fulani Kuna mtu kwenye network ambae walisoma wote au wameoleana au walishaiba wote. (Kumbuka network ya maskini Ni ya wacheza singeli au vigodoro au wacheza bao au wanywa wanzuki au wamama wa vikoba yaani hakuna mwenye kumjua hata mkuu wa wilaya )
Hii kitu Iko wazi kama ya mbuzi yaani
 
Ufisadi unalipa Sana.

Unakwapua billion 100, unapigwa faini million 8.

Unabakiwa na zaidi ya billion 99 na gwala gwala za mboga million 99
 
Acha tu mkuu
Haya masihara
Wanafanya,kwa style hii
Upigaji hauwezi isha
Bora watunge sheria ya kunyonga

Ova
Hawawezi kutunga sheria itakayowageuka. Unadhani kwa nini hawataki katiba mpya? Wanajua ikipita tu utwala wa CCM ndiyo mwisho. Kilangila.
 
Sahv mataka atakuwa anacheka tu meno yote njee...

Sasa wewe iba sim au kuku uone ukatavyopigwa mvua za maana

Ova
 
ningekuwa mimi hata wangenihukumu milioni 100 bado ningeridhikana hukumu kwa sbb bado ningekuwa na faida milioni 900

lakini twende mbele turudi nyuma mwizi wa pikipiki ya thamani ya mil.2.5 anapigwa na kuchomwa moto huyu kibopa alichokifanya ni zaidi ya ugaidi lkn hukumu yake haiendani hata chembe...tatizo ni sheria zetu au ni nini ?!!...lkn sheria hiyo hiyo inamhukumu mwizi wa kuku miaka 30

lakini huenda pia ikawa ni mchongo kwamba pindi suala litakapoenda mahakamani basi hukumu itolewe nyepesi basi faini tutalipa na chetu kinono tutakuwa tumechukuwa

huyo hakustahili hata kifungo cha miaka 30 bali ni kunyonga tu na kutaifisha kila kitu chake visipotosha fidia ni kuchukua mali za washirika wake pia
 
Kama walishamfanyia confiscation ya baadhi mali zilizotokana na hasara aliyotia hiyo inaweza kuwa adhabu

Vinginevyo hayo ni masihara
hizo mambo walitakiwa kusoma pamoja na hiyo hukumu ya mil.8 inavyoonekana hkn walichomchukulia
 
CCM must be held responsible kwa kukimbilia biashara ya ndege kujaribu kushindana na Kenya, hakuna CEO yeyote ambaye angefanya muujiza ATCL ipate faida, haitatokea hivi karibuni, Magufuli kapiga hewa ngumi! Sasa they are throwing these guys under the bus!

Kama eti pia wali forge a summary of a session, ilibidi kufurahisha mkulu, serikali ilidanganya taifa eti ndege zina tengeneza faida kumbe wapi., since the launch of the white elephant it is merely eating public taxes, mama Samia amegeuza ndege moja kama yake rasmi, passengers are facing delays and missing flights, kuna malalamishi kibao, idiocy on steroids!! Ujinga na upumbavu kuchanganywa.

=======

Former Air Tanzania managing director sentenced to 4 years in prison

FRIDAY AUGUST 20 2021

Mattaka pic

Former Air Tanzania Company Limited (ATCL) managing director David Mattaka

By Hadija Jumanne

Dar es Salaam.
Former Air Tanzania Company Limited (ATCL) managing director David Mattaka has been sentenced to four years in prison or to pay a fine of Sh8 million after he was found guilty on four counts of abuse of office, occasioning government loss of Sh71 billion.

Mataka and co- were sentenced by the Kisutu Resident Magistrate's Court on Friday August 20, 2021.

The decision was handed down by the Chief Resident Magistrate, Janeth Mtega when the case was called for sentencing.

Apart from Mataka, the other defendants in the case are retired Chief Executive Officer, Dr Ramadhan Mlinga and former lawyer of the Public Procurement Regulatory Authority (PPRA), Bertha Soka, who have been ordered to pay a Sh2 million fine each or go to jail for one year, after being found guilty of one count of forging a summary of a session.
 
Back
Top Bottom