David Kafulila: Wasukuma siyo watu wa kulalamika

Brightfame

JF-Expert Member
Sep 14, 2016
1,213
2,000
WAsukuma ni wema sana, nawapenda maana huwa wana ushamba usio isha.
Mnashangaza !! Mnawaita washamba wakati mkoa wao na jiji lao la Mwanza ni la pili kwa ukubwa baada ya Dar, mnaojiona wajanja mnatoka kwenye vimkoa vya kishamba visivyo na majina !!
 

uhurumoja

JF-Expert Member
Mar 2, 2014
2,622
2,000
Ila hapo kwa wasukuma kasema kweli aisee jama hawajui kulalamika Kabisa wao ni kazikazi
 

uhurumoja

JF-Expert Member
Mar 2, 2014
2,622
2,000
Mtaka na ni watani halisi Muha na mtu wa Mara (nadhani mtaka ni mjita,mkurya,au mzanaki)
 

Igombe fisherman

JF-Expert Member
Apr 28, 2017
1,417
2,000
Sababu wametukanwa sana,ila karibu wote wamekaa kimya.

Hata hapa JF wako kimya 20m people wanaangalia 3m matusi yenu hapa TZ. JF wapo zaidi ya 20% wako kimya, wako kimya.

Wanamlinda Rais, Serikali, wanakulinda wewe taratibu bila mbwembwe. Ukizingatia idadi yao yuko sahihi sana ni watu watulivu, wapenda amani.
Kwanza humu jf ukisifia wasukuma unaonekana mkabira ila ukiwaponda unaonekana uko sahihi. Toka magufuri ashinde urais jamiiforum ikawa mpinzani wake ni wasukuma

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom