Mhere Mwita
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 235
- 1,275
Nchi kwasasa uwazi umepungua. kwa hiyo dili zitakuwa zinapigwa kimya kimya. kwani hiyo reli alopewa Turkey badala ya China umeshasikia serikali imesema Turkey ataijenga kwa dola ngapi? mana serikali ilitangaza China wangejenga hizo 1259km kwa $7.6bn,
Je kwanini hatuambiwi Turkey atajenga kwa $ ngapi tujue tumeokoa kiasi gani? tunaambiwa jumla tu China walikuwa wamepiga dili. mazingira kama hayo usikute kweli dili lilikuwemo kati ya mchina na serikali iliyopita, sasa ni dili jipya kati ya Turkey na serikali ya sasa ndio mana hatuambiwi huyo Turkey anajenga kwa $ ngapi sasa zaidi ya kukaririshwa tu kuwa china ilikuwa imepiga dili humu?.
Najua mradi wa reli kama huu SGR nchini Ethiopia , Kampuni ya China imejenga 750km kwa $4bn sawa na wastani wa $5.3m kwa 1km, hii ya tz ya$ 7.6bn kwa 1259km ni wastani wa $6m kwa 1km.Hapo ndio nanusa dili ya kama $700,000/ kwa kila 1km, au zaidi ya $800km kwa 1259km. hata hivyo, hii haiondoi wajibu wa kuweka wazi Turkey itajenga kwa bei gani ili isiwe dili imehamishwa toka awamu ya nne kwenda ya awamu ya tano. usiri ni sumu ktk vita ya ufisadi