David Kafulila: Tutumie Mitandao vizuri, Rais anasoma maoni yetu

David Kafulila ametoa wito kwa watanzania kutumia vizuri mitandao kwa kuwa Rais Samia anapitia mitandao.

Amesema ikitokea Rais ametukanwa mtandaoni anaweza kuacha kusoma mambo mtandaoni kama alivyofanya Rais wa Kenya ambaye aliamua kuachana na mitandao ya kijamii.

Amesisitiza umuhimu wa kutumia mitanda kwa staha ili mawazo muhimu yaweze kufanyiwa kazi.

Ameona aseme chochote ili mama ajue kama yupo, anatamani aukwae uwaziri, huyu ni msaliti hakuwahi kuwa na shaka yoyote na kina mtatiro walijali maslahi binafsi
 
Back
Top Bottom