David kafulila kapunjwa

LE GAGNANT

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
1,241
251
Nimekerwa sana na kukatishwa kwa hoja alokuwa anachangia Dave Kafulila na Mbunge mmoja alokuwa akijidai kusahihisha juu ya hoja ya mashirika ya simu za mkononi kutolipa kodi pindi yanapobadilishwa au kuuzwa. Baada ya kukatishwa kuchangia Naibu spika kamwambia muda wake umeisha bila kujali interruption ya yule mbunge wa CCm. Hivi kweli tuajenga cha maana?
 
Bungeni naona kuna tatizo kwa Spika na Naibu wake kujali zaidi muda badala ya michango ya wabunge; sasa kama hao wawakilishi wetu hamuwapi muda wa kusema yale tuliowatuma mnafikili huko Dodoma wamekuja kufanya nini? Kuheshimu muda sawa lakini waacheni wabunge watoe madukuduku yao kwa kuwapa muda wa kutosha kuchangia!!
 
Naona kazi waliyotumwa maspika wetu wanaimudu barabara hivyo watz ktk bunge hili tusitegemee chochote kutoka kwa wawakilishi wetu kwani watabanwa kila kona na mafisadi.
Halafu wapinzani wakiamua kuja direct kutueleza wananchi nini kinachojiri CCM wanalalamika kuwa wanaleta uchochezi wakati hayo mambo yangeweza kuzungumzwa bungeni.
HYPOCRICY!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom