David Concar kuchukua nafasi ya balozi Sarah Cooke

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
3,893
2,000
David Concar ameteuliwa kuwa balozi wa Uingereza nchini Tanzania ambaye ataanza majukumu hayo Mwezi Agosti 2020.

David Concar anachukua nafasi ya aliyekuwa balozi wa Uingereza nchini Sarah Cooke ambaye amepangiwa majukumu mengine ya kidiplomasia.

Kabla ya kuteuliwa kwenye nafasi hiyo, David Concar alikuwa ni Mkurugenzi wa Foreign & Commonwealth Office, FCO.

Change of British High Commissioner to Tanzania: August 2020
 

Karne

JF-Expert Member
Jun 13, 2016
5,044
2,000
Huyo Cooke na kale kenzie ka-Patterson (Kaimu Balozi wa Marekani) tulikuwa tu-shost.

Matamko ya kijingajinga kila uchwao!

Sidhani kama kuondolewa kwao nchini ni coincidence tu!
 

Nanye Go

JF-Expert Member
Oct 29, 2018
7,732
2,000
Huyo Cooke na kale kenzie ka-Patterson (Kaimu Balozi wa Marekani) tulikuwa tu-shost.

Matamko ya kijingajinga kila uchwao!

Sidhani kama kuondolewa kwao nchini ni coincidence tu!
Hahaha nasikia pia walikuwa wanachama wa Chadema, that's why waliondolewa.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom