Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 125,733
- 239,338
Sasa iko wazi kwamba wana bumbuli wanahitaji mbunge mwenye kuyajua kiundani kabisa matatizo yao , mtu mwenye uchungu nao na anayeijua vizuri bumbuli yao.
David Chanyeghea ni kijana wenu ambaye tangu uchaguzi uliopita ameonyesha wazi kabisa kutatatua matatizo ya bumbuli , hasa baada ya kuwahakikishieni kuwatafutia soko la zao lenu la chai ambalo limeanguka baada kiwanda kufungwa .
Bumbuli inahitaji mchapa kazi wa kweli anayeweza kuishi na wapiga kura wake ili ayajue matatizo ya eneo lake , asiye na ndimi mbili na mwenye malengo ya kupiga hela,
ule wakati wa kuchagua watoto wa viongozi ( WAKAZI WA DSM ) kwa kuchagizwa na baba zao umepita .