David Cameron Amkwepa (Waziri wa Mambo ya Nje Wa Tanzania) Amelazimika Kukutana na William Hague

Kwa shape yangu cameron ataniacha nirejee salama Tanzania!!!!!. Rais wangu endelea kukataa ushoga hata kama wamesusa kuonanana na wewe. Kususa kwao ni mbinu hadaa ya kukujengea hofu watakapokuuliza msiamo wako juu ya ushoga. Waambie haujabadilika.
 
Mwenzenu kumbukumbu zangu zinaonyesha KIBAKI ndo hapendi kabisa kusafiri kati ya viongozi wa A.mashariki
 
Kikwete Kila siku yeye Anasafiri, Mbona hao wazungu anaowafuata huko hawaji kumtembelea, much much utasikia Rais wa somalia kaja kula futari, kwa sababu somalia njaa kali.
 
Amealikwa na Viongozi wengine wa Africa kama Rais wa Ushelisheli na David Cameroon... Hiyo picha ni ya Zamani lakini nina Maanisha Wamekutana na wanajadiliana kuhusu Somalia... Ni kweli ziara ya kikazi
Mkuu, hebu tuambie,
Kenya kaenda nani,
Uganda kaenda nani
Eritra kaenda nani,
Sudani Kusini kaenda nani,

Au Somalia inatuhusu sana sisi kwa sababu ya GAS yetu?
 
Hivi unapata faida gani kutudangaya




Rais Jakaya Kikwete akiwa na Waziri Mkuu wa Uingereza Bw. David Cameron walipokutana mjini Davos pembeni mwa Kongamano la Uchumi la Dunia jana Januari 26, 2012. Picha na Ikulu


hapa ndo ilikuwa badla hajatoa ile mijibu yake ya shule za kata..hahaaaa JK hivi unapataga muda kusikiliza majibu unayokuwa unatoa kwenye mikutano hii kweli
 
Na Nilivyosema Ni Vigumu kwa Sasa Wazungu kumkimbia Rolling Stone Kikwete... Wameonana

Rais-Kikwete-na-David-Cameroun.jpg

Aise mbona naona hapo kama vile JK amebanwa sana huo mkono, na ana vumilia hayo maumivu.
 
Amealikwa na Viongozi wengine wa Africa kama Rais wa Ushelisheli na David Cameroon... Hiyo picha ni ya Zamani lakini nina Maanisha Wamekutana na wanajadiliana kuhusu Somalia... Ni kweli ziara ya kikazi
tena hii point nimekuwa nikiifuatilia na itakuwa vizuri kama mtanijuza hapa.

Je, ni viongozi wangapi wa Africa wamehudhuria???

Je, Kibaki, M7, Nkurunzinza, Salva Kiir, Rais Zenawi wapo pia? (maana hawa wana majeshi huko)

Nikijuzwa hivyo nitaona umuhimu wa jk kuhudhuria pia

 
Mimi simkubali Kikwete kabisa na kama walivyo Watanzania wengi ninachukizwa na tabia yake ya uzururaji, lakini sikubaliani na mleta mada kuwa David Cameron amemkacha. Kulingana na taratibu za kiitifaki siyo lazima rais wa nchi fulani akienda mfano Uingereza akutane na waziri mkuu.

Kama ni "state visit", basi rais anayekwenda anakuwa mgeni wa malkia kwa sababu malkia ni "head of state". Kama ni "official visit", basi anakuwa mgeni wa waziri mkuu David Cameron, lakini kama ni "working visit" kama ambavyo ziara hii ilitangazwa, basi anakutana na waziri anayehusiana na shughuli iliyompeleka.

Mpangilio huu unasababisha thread hii ikoshe mashiko kidogo.

Ni hayo tu.


Kwa kuongezea maelezo zaidi, Hii ndio orodha ya viongozi mbalimbali wanaohudhulia mkutano huo:-

Attendee list
Country/OrganisationHead of Delegation
African UnionChairperson of the African Union
African Union CommissionChair – Mr Jean Ping
ASWJMr Hersi Mohamed Hilol
AustraliaSecretary – Dept of Foreign Affairs – Dennis Richardson
BrazilVice Minister for Africa and the Middle East – Mr Paulo Cordeiro de Andrade Pinto
BurundiPresident – Mr Pierre Nkurunziza
CanadaMinister of Foreign Affairs – Minister John Baird
ChinaChinese Government Special Representative on Africa – Mr Jianhua Zhong
DenmarkMinister for Foreign Affairs – Mr Villy Søvndal
DjiboutiPresident of the Republic – Ismail Omar Guelleh
EgyptMinister of Foreign Affairs – Mr Mohammed Kamel Amr
EthiopiaPrime Minister – Mr Meles Zenawi Asres
EUEU High Representative for Foreign Affairs and Security Policy – Baroness Catherine Ashton
FinlandPresident of the Republic – Ms Tarja Kaarina HalonenMinister for International Development – Ms Heidi Anneli Hautala
FranceFrench Minister of Foreign Affairs – Mr Allan Juppe
GalmudugPresident Galmudug State of Somalia – Mr Mohamed Ahmed Alin
GermanyForeign Minister – Mr Guido Westerwelle
IGADExecutive Secretary – Mr Mahboob Mohamoud Maalim
IndiaMinister of State for External Affairs Mr Edappakath Ahamed
ItalyMinister for Foreign Affairs – Mr Guiliomaria Terzi
JapanParliamentary Senior Vice Minister for Foreign Affairs – Mr Ryuji Yamane
KenyaPresident – Hon. Mwai Kibaki
KuwaitAmbassador – Khaleed Al Duwisan
League of Arab StatesSecretary General of The Arab League – Dr Nabil Elaraby
LuxembourgVice Prime Minister and Minister of Foreign Affairs – Mr Jean Asselborn
MauritiusPrime Minister – Dr Navinchandra Ramgoolam
Mayor of MogadishuGovernor of Benadir Region and Mayor of Mogadishu – Mr Mohamoud Ahmed Nur
NetherlandsMinister of Foreign Affairs – Mr Uri Rosenthal
NigeriaPresident – Dr. Goodluck Ebele Jonathan
NorwayMinister of Environment and International Development – Erik Solheim
OmanForeign Affairs Minister – Mr Yousuf Ibrahim
Organisation of the Islamic CountriesSecretary General – Dr Ekmeleddin Ihsanoglu
PakistanForeign Minister – Ms Hina Rabbani Khar
PuntlandPresident of Puntland – Abdirahman Mohamud
QatarMinister of State for Foreign Affairs – Dr Khalid Bin Mohammad Al Attiyah
RussiaSpecial Representative of the President of the Russian Federation for Cooperation with African Countries, Chairman of the Council of The Federation Of The Federation Committee for Foreign Affairs – Mr Mikhail Margelov
Saudi ArabiaMinister of Foreign Affairs – HRH Prince Saud Al Faisal
SeychellesPresident – Mr James Michel
SomalilandPresident – Mr Ahmed Silanyo
South AfricaForeign Minister – Ms Maite Nkoana-Mashabane
SpainMinister – Mr Jose Manuel García-Margallo
SwedenPrime Minister – Mr Fredrik ReinfeldtState Secretary Foreign and EU Affairs – Mr Carl Bildt
SwitzerlandFederal Councillor – Mr Didier Burkhalter
TanzaniaPresident – Jakaya Mrisho Kikwete
TFG (President)President – Sharif Sheikh Ahmed
TFG (Prime Minister)TFG Prime Minister – Dr Abdiweli Mohamed Ali
TFP (Speaker)Speaker of the TFP – Hassan Sheilk Aden Issak
TurkeyMinister of Foreign Affairs – Mr Ahmet Davutoglu
UAEMinister of Foreign Affairs – Sheikh Abdulla Alenhayan
UgandaPresident – H.E Yoweri Kaguta Museveni
United NationsUN Secretary General – Ban Ki Moon
United Nations (IMO)Secretary-General – Mr Koji Sekimizu
USUS Secretary of State – Mrs Hilary Clinton
World BankVice President – Mrs Obiageli Ezekwesili
YemenMinister of Foreign Affairs – Dr Abu Bakr Al-Qirby
 
340x245.jpg
610x.jpg


Kikwete Mstari wa tatu Nyuma hana Umaarufu; angalia Museveni na Rais wa Kenya... na wananchi wao ni rahisi kupata Visa kuliko sisi wabongo pamoja ya kuwa tuna Utajiri zaidi yao.

610x.jpg



628x471.jpg
 
Wazri mkuu wa uingereza amkacha JK na kumuacha William Hague waziri wa mambo ya nje ndo akutane na JK...Inaonyesha Waingereza nao wamechoka na safari zake....Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Kazi kweli kweli. Heri ingekuwa Mwai kibai mwenye majeshi yake Somalia, wana Ethiopia eritrea na Uganda..sasa Jk jamani nin ilimlazimu kwenda? Membe asingeweza hizi kazi? Kwa maana kazi zote za membe Jk kaingilia !...........Pengine Cameron amemkwepa kuepuka moto na wabunge wake akiogopa kukutana na mkuu wa nchi iliyoiletea nchi yake scandal ya Rada za B.A.E
IMG_1883.jpg

Siasa za kujengwa na propaganda zimeshapitwa na wakati. Kama wewe ni mfuasi wa chama fulani cha upinzani; basi toa ushauri kwa chama chako kipenzi ama kwa mbunge wako ili nini kifanyike kwa ajili ya kuendeleza wananchi. Binafsi, nilishawahi kukutana na mbunge mmoja ambae kimsingi; kutokana na elimu yake niliwahi kumshauri ni nini anatakiwa kufanya kwa ajili ya maendeleo ya wapiga kura wake! Hiyo ndiyo njia pekee ya kisayansi inayofaa kuliko kueneza porojo za kusadikika!!
 
Mwenzenu kumbukumbu zangu zinaonyesha KIBAKI ndo hapendi kabisa kusafiri kati ya viongozi wa A.mashariki
Mkuu huyu mzee hapendi kusafiri nje ya nchi. Safari zake za nje zinahesabika hata kwa vidole vya mkono mmoja tu.
 
Back
Top Bottom