David Cameron Amkwepa (Waziri wa Mambo ya Nje Wa Tanzania) Amelazimika Kukutana na William Hague

lushiba

New Member
Oct 29, 2010
4
0
Maskini hamjui hata mnachokiandika, ili mradi roho zinawauma kwa jina tu la Kikwete, kila afanyalo, kwenu ni muhali. Poleni sana, nawasikitikia bado mna miaka 3 ya kulalama baada ya hapo mna zee la ma-mvi. MMasai yule, utani kwake unaishia mwisho wa fimbo yake, shauri lenu, mtakuja kuiona JF chungu.

Unamtisha nyani kwa ndizi
 

Sizinga

JF-Expert Member
Oct 30, 2007
8,761
2,000
Nisiposafiri na kukaa tu Ikulu na kumsifia Salma kwa u mzuri sana, watanzzania mtalala njaa!!
 

MtamaMchungu

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
6,821
2,000
Mbona hamna cha ajabu hapo, mimi naona salamu tu, nothing more. Kwani ni vibaya Obama kusalimiana na Membe akija Dar kwenye mkutano?

Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, besides kuna mambo mengi muhimu zaidi ya kufikiria.
 

Ndahani

Platinum Member
Jun 3, 2008
17,718
2,000
Kufuatia kuwa na gesi na mafuta, Waingereza wako tayari mpaka kutupigia magoti kutulamba miguu!.

That is an area where we can easily get things wrong. I am so worried by the fact that we are exposed. Hawa jamaa watatuelea X-SAS kama investors na balaa zao kila upande.
 

kiagata

JF-Expert Member
Jan 12, 2012
206
225
Wazri mkuu wa uingereza amkacha JK na kumuacha William Hague waziri wa mambo ya nje ndo akutane na JK...Inaonyesha Waingereza nao wamechoka na safari zake....Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Kazi kweli kweli. Heri ingekuwa Mwai kibai mwenye majeshi yake Somalia, wana Ethiopia eritrea na Uganda..sasa Jk jamani nin ilimlazimu kwenda? Membe asingeweza hizi kazi? Kwa maana kazi zote za membe Jk kaingilia !...........Pengine Cameron amemkwepa kuepuka moto na wabunge wake akiogopa kukutana na mkuu wa nchi iliyoiletea nchi yake scandal ya Rada za B.A.E
IMG_1883.jpg

Akufukuzae hakwambii toka.
 

Pezzonovante

JF-Expert Member
May 1, 2008
642
0
mimi simkubali kikwete kabisa na kama walivyo watanzania wengi ninachukizwa na tabia yake ya uzururaji, lakini sikubaliani na mleta mada kuwa david cameron amemkacha. Kulingana na taratibu za kiitifaki siyo lazima rais wa nchi fulani akienda mfano uingereza akutane na waziri mkuu.
Kama ni "state visit", basi rais anayekwenda anakuwa mgeni wa malkia kwa sababu malkia ni "head of state". Kama ni "official visit", basi anakuwa mgeni wa waziri mkuu david cameron, lakini kama ni "working visit" kama ambavyo ziara hii ilitangazwa, basi anakutana na waziri anayehusiana na shughuli iliyompeleka.
Mpangilio huu unasababisha thread hii ikoshe mashiko kidogo.
Ni hayo tu.

halo ebu fungua dalasa la itifaki hapa watu bwana ni ujinga kuwasema viongozi weytu kila wakati hata kwa mambo yasi na mashiko yanauwa ubunifu wa akili zetu, massenberg umesema kweli, kwa mujibu wa ikulu jk kaitwa na cameroon ampe maujanja ya upatanishi,jk ndiye aliye poza mambo zenji na kenya, kama hamjui ngoma ya kenya ilimshinda mkapa na koffi anani kikwete akaenda mambo yakawa shwari wakaa mezani na jamaa wameenda icc, tatizo wa tz mnadharau wazee wenu na nyinyi wenyewe mnajizalau.
 

mchemsho

JF-Expert Member
Jun 8, 2011
3,193
2,000
Wazri mkuu wa uingereza amkacha JK na kumuacha William Hague waziri wa mambo ya nje ndo akutane na JK...Inaonyesha Waingereza nao wamechoka na safari zake....Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Kazi kweli kweli. Heri ingekuwa Mwai kibai mwenye majeshi yake Somalia, wana Ethiopia eritrea na Uganda..sasa Jk jamani nin ilimlazimu kwenda? Membe asingeweza hizi kazi? Kwa maana kazi zote za membe Jk kaingilia !...........Pengine Cameron amemkwepa kuepuka moto na wabunge wake akiogopa kukutana na mkuu wa nchi iliyoiletea nchi yake scandal ya Rada za B.A.E
IMG_1883.jpg

kaka title nahisi umeichanganya , ingefaa uandike Cameroon Amchoka Jk, amtelekeza kwa waziri wa mambo ya nje
 

mzurimie

JF-Expert Member
Oct 16, 2011
6,143
2,000
Nimeona mitandaoni africa news Raisi wa Nigeria

"
London – President Goodluck Jonathan arrived in London on
Wednesday
to attend the International Conference on Somalia scheduled for
Thursday
.
During the visit, the president will hold bilateral talks with the
British Prime Minister
, Mr David Cameron.
He will also meet with the
Prince of Wales
at Lancaster House
on the sidelines of the conference.

Jonathan will on
Thursday meet
with members of the
Nigerian community
before
departing for home
on
Thursday
."

DONE
 

Mwanakili90

JF-Expert Member
Nov 24, 2010
1,571
1,225
Maskini hamjui hata mnachokiandika, ili mradi roho zinawauma kwa jina tu la Kikwete, kila afanyalo, kwenu ni muhali. Poleni sana, nawasikitikia bado mna miaka 3 ya kulalama baada ya hapo mna zee la ma-mvi. MMasai yule, utani kwake unaishia mwisho wa fimbo yake, shauri lenu, mtakuja kuiona JF chungu.

Nikisema umetumwa na "mlaji mkuu" nitakuwa nimekosea?
 

Bulesi

Platinum Member
May 14, 2008
10,820
2,000
Mmm kweli mkuu hali mpaya sasa ni muda wa kupumzika, next time atapewa Mkuu wa Wilaya, tatizo lake muda wote akienda kwy izo meeting anapitisha bakuli. wamemchoka sasa, Mkuu pumzika punguza mitoko:A S embarassed:

Asili yao wakweree, huwa hawaoni aibu kwao mambo mswano kila wakati!! Waingereza wana msemo kuwa "Common sense is a rare commodity" wamemuandika kwenye magazeti na kumtukana lakini wapi jamaa ameweka pamba masikioni!!
 

WA-UKENYENGE

JF-Expert Member
Oct 1, 2011
2,920
2,000
JK alizoea kusafiri kipindi kile cha uwaziri wa mambo ya nje. Saizi kumfungia magogoni ni kumuonea tu!!
 

Mwanajamii

JF-Expert Member
Mar 5, 2008
7,063
0
Walishakutana Davos na kukaa kwa mazungumzo sidhani kama kulikuwa na ulazima wa kukutana naye tena. vilevile inategema itifaki inasemaje kwenye ziara hiyo pengine haikupangwa wakutane.
 

Mwanajamii

JF-Expert Member
Mar 5, 2008
7,063
0
Cameron kakimbia msimamo wa Tanzania kukataa ushoga na membe ndiye alizungumza kwa niaba ya serikali kukataa mkakati wao wa kutubinafsishaji na ushoga.
 

MAMA POROJO

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
4,974
2,000
mama porojo naogopa kwenda uingereza na makario yangu makubwa. Hata ningepewa ofa na Jk ningekataa.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom