Daudi Albert Bashite (Zero Brain) Ajitokeza.

sam leon

JF-Expert Member
Jan 29, 2017
890
1,188
Baada ya utata wa muda mrefu,uliojitokeza baada ya watu kudai mkuu wa mkoa wa D'salaam jina lake halisi ni Daud Albert Bashite na sio Paul Makonda kama anavyojitambulisha.

Hatimae Daud Albert Bashite (Zero Brain) halisi ajitokeza
IMG_20190628_153330.jpeg
 
Jamani mi mgeni na hayo mambo kwani anayetumia acc ya baba keagan ni nani? Au ndio mambo ya insta na twita
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom