Daud Bashite nahitaji kujua!

mwalidebe

JF-Expert Member
Mar 27, 2016
425
247
Nataka majibu huyu Daudi Bashite
Kwanini asakamwe? Nikwasababu ya vita aliyo ianzisha ya madawa ya kulevya?
Nikwasababu ya vyeti?
Nikwasababu za kisiasa?
Nikwasababu za kidini?
Nikwasababu ya wivu husuda Na Fitina?
Nikwasababu ya madaraka?
Nikwasababu ya ukaribu wake Na Mkuu Wa kaya?
Nikwasababu ulokole wake?
Kuna nini hasa nyuma ya haya yote? Kwanini kama nchi imesimama macho masikio yote ni Daudi bashite?
Kuna kitu natamani nifahamu ili nisipelekwe na upepo je unaweza nifumbua macho ukanifafanulia tafadhari. (Anyone)
 
He is an ass hole with big boobs and a booty and he talks like a b*tch, uses his d*ck to think he love the camera and have a pr..dent for a boyfriend thats why..
 
Anasakamwa kwa kuwa ana makosa mengi ya jinai lakini ndie mshauri mkuu wa rais. Amemvuruga rais akili kabisa, anaona nchi ni ya wao wawili. Wote wawili shurti watolewe kwa maslahi maaana ya taifa.
 
Nataka majibu huyu Daudi Bashite
Kwanini asakamwe?
Nikwasababu ya vita aliyo ianzisha ya madawa ya kulevya?
Nikwasababu ya vyeti?
Nikwasababu za kisiasa??
Nikwasababu ya ukaribu wake Na Mkuu Wa kaya?
Kuna nini hasa nyuma ya haya yote? Kwanini kama nchi imesimama macho masikio yote ni Daudi bashite?
Kuna kitu natamani nifahamu ili nisipelekwe na upepo je unaweza nifumbua macho ukanifafanulia tafadhari. (Anyone)
Kwasababu alimtaja MWENYEKITI WETU MBOWE ANAUZA SEMBE PIA ALIMTAJA MSHENGA WETU GWAJIMA NDIO MAANA HATUMTAKI
No comment.
 
Kwa kuwa umesikia yote hayo na bado hutaki kuelewa; bora uende kwa DAB mwenyewe akakueleweshe..!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom