shinyangakwetu
JF-Expert Member
- Jun 25, 2015
- 2,487
- 2,394
Wakati tukiwa bado tunasubiri ripoti za wizi ulifanya na kiongozi huko Nssf,tayari kuna taarifa kuwa kampuni nyingine zinazofanya kazi na NSSF zina uhusiano na Dr. Dau.
Hizi ni pamoja na kampuni ya ulinzi inayolinda majengo na ofisi za NSSF,pia kuna taarifa kuwa kuna kampuni ya mtoto wake aliyeko Uingereza imepewa kazi ya kuiwezesha NSSF kupata cheti cha ubora ie ISO.
Kampuni hiyo imemtuma mwakilishi wake ambaye analala hotelini ya bei ghali na kulipiwa na NSSF kwa zaidi ya miaka miwili sasa. Mabilion ya pesa yameshatumika kuilipa hiyo kampuni ya mwanae Dau.
Pia inasemekana NSSF waliingia mkataba na wawakilishi feki wa Real Madrid kwa ajili ya kujenga chuo cha mambo ya mchezo na gharama kubwa imeshatumika huku kukiwa na sintofahamu baada ya Real Madrid kudai hawahusiki ktk hilo suala na sasa NSSF wameshtakiwa kwa kutumia jina hilo bila idhini yao.
Nitakuja nawapakulia jinsi ntavyozidi kuzinyaka.