Dating & ndoa

HoneyBee

JF-Expert Member
Oct 23, 2012
912
860
Wana JF, mlichukua muda gani kuanzia kukutana na mwenza wako/ kuanza kudate mpaka ndoa? Kuna correlation kati ya muda unaochukua kumfahamu mtu, na furaha katika ndoa? Je mlikutana na surprises zozote baada ya kufunga ndoa?
 
Mmmh muda haujalishi sana muhimu unaimani kuwa mmefahamiana vya kutosha, huwezi kumjua mtu kwa undani mpaka muwe mnaishi pamoja. Nionavyo mimi chini ya miezi 6 ni padogo sana na zaidi ya miaka 2 ni parefu sana, kama uko kwenye serious relationship for 2 yrs or more unless mmekubaliana muishi hivyo swala la ndoa sahau.
 
Nianze mimi; nilikutana naye akiwa kwenye kambi ya UMISETA pale Ihungo secondary (alikuwa mwanafunzi Rugambwa Sec) tukafahamiana. Mwaka mmoja baadaye nilisafiri naye kwenye meli - train hadi Dar akiwa ananisindikiza chuoni. Muda wote huo sikumsumbua kwa mambo ya kujamiiana.
Mwaka mmoja baadaye niliamua kumtambulisha kwa ndugu zangu kama mchumba; hapo nilizunguka naye sehemu nyingi sana. Mwaka huo huo tulianza mipango ya kuoana. Hadi sasa ndo mama watoto wangu!
Ambao hamjaoa - fanyeni mambo kistaarabu; hakuna raha kama ya kuzoeana na mwenza wako kabla ya kujamiiana naye.
 
Mimi ni mpitaji katika hii thread..makao yangu kwa machelor tu...
M waitng kusikia pia.
 
Mmmh muda haujalishi sana muhimu unaimani kuwa mmefahamiana vya kutosha, huwezi kumjua mtu kwa undani mpaka muwe mnaishi pamoja. Nionavyo mimi chini ya miezi 6 ni padogo sana na zaidi ya miaka 2 ni parefu sana, kama uko kwenye serious relationship for 2 yrs or more unless mmekubaliana muishi hivyo swala la ndoa sahau.

wee una akili...sasa naona bora nije nisemewe waziwazi tuu kuwa am interested.
 
Nianze mimi; nilikutana naye akiwa kwenye kambi ya UMISETA pale Ihungo secondary (alikuwa mwanafunzi Rugambwa Sec) tukafahamiana. Mwaka mmoja baadaye nilisafiri naye kwenye meli - train hadi Dar akiwa ananisindikiza chuoni. Muda wote huo sikumsumbua kwa mambo ya kujamiiana.
Mwaka mmoja baadaye niliamua kumtambulisha kwa ndugu zangu kama mchumba; hapo nilizunguka naye sehemu nyingi sana. Mwaka huo huo tulianza mipango ya kuoana. Hadi sasa ndo mama watoto wangu!
Ambao hamjaoa - fanyeni mambo kistaarabu; hakuna raha kama ya kuzoeana na mwenza wako kabla ya kujamiiana naye.

Am inspired..i hope to have such a story as this. Help me Lord.
 
Hii thread nahisi inawahusu sana walio kwenye ndoa...
Binafsi naamini kujuana vizuri kwanza ni vyema na husaidia kuepusha au kukubaliana na baadhi ya tabia ambazo huenda ingalikuwa kasheshe kama kusingalikua na kujuana vyema...
 
ndio kujuana ni vzr zaidi kabla ya ndoa lkn kumjua m2 tabia yake hadi ukae nae kwa mda mrefu unapo kua nae ktk mahusiano unaweza usigundue zile tabia zake za ajabu kutokana na kwamba huwa anaficha makucha yake kwanza atimize malengo yake akisha ingia sasa ndo utaona sheshe lake mda haujalishi katika ndoa ni upendo ndo unakua unamata kati yenu hata mwezi mnaweza kuoana
 
Kuna namna ya kutega wewe!
 
Wana JF, mlichukua muda gani kuanzia kukutana na mwenza wako/ kuanza kudate mpaka ndoa? Kuna correlation kati ya muda unaochukua kumfahamu mtu, na furaha katika ndoa? Je mlikutana na surprises zozote baada ya kufunga ndoa?

mi siku ya kwanza tu kuonana nikapwea kitu nikakamua, lakini mpaka leo tunaishi wote na ndio mke wangu wa ndoa
 
Nielewavyo mimi ni vigumu sana kumfahamu mtu compliantly.
hata uishi naye miaka milioni moja na nusu yake..
Cha muhimu ni kuangalia je we uko tayari kuingia kwenye mahusiano?
na je mwenza wako yuko tayari?

kuna watu wengine wanakaa miaka nenda rudi na hawafungi ndoa.

Binafsi naona naona muda si hoja ikija kwenye mahusiano bali pale
mtakapokuwa tayari wote.
 
Vijana angalieni akina dada watakavyo comment kuhusu muda muafaka wa kuwa kwenye uchumba halafu muangalie wanavyofikiri na lengo lao. Akina dada watasema issue ya muda wa uchumba ni useless kwao hata ukikutana naye leo ukataka mkafunge ndoa kesho kwa wengi ni sawa tu. Hii ndio maana kuna jamaa alikatalia mbele ya pastor akaomba mmojawapo wa mabest girl anayetaka kuolewa na akajitokeza pale pale na kuvalishwa shela akaolewa. huyo hakuwahi chumbiwa. angalia kisa cha Yakobo na Leah kwenye bible; katika habari hii Yakobo alimchumbia Rachel kwa miaka 7 na siku ya ndoa akapewa Leah ambaye hakuwahi chumbiwa hata siku moja na akapewa mume na hakusema no.
Hii ndio inayonifanya nione kujadili muda gani unatosha kuwa kwenye courtship na mwanamke ni kupoteza muda kwani wao hawatakushauri kuchukua muda mrefu kwa kuhisi watazidiwa maarifa na wenzao
 
Nakubaliana na wewe kwamba huwezi kumfahamu vya kutosha bila kuishi nae. Sidhani kuwa miaka miwili ni tosha sababu hapa bado mpo kwenye honeymoon period. Bado mnachukua muda kufahamiana, labda hamjawahi kugombana muda wote huu. Ungeniuliza mimi kuhusu husband wangu sasahivi baada ya miaka miwili kufahamiana ningekuambia "he is PERFECT!!!", but alas no human is perfect na nashukuru tulichukua muda mrefu zaidi kabla ya kuoana (miaka 6).

Nadhani miaka miwili inategemeana na umri na stage uliopo maishani. Of course kama mwanamke uko zaidi ya 30 usingependa kuchukua miaka 6, lakini in my case tulikuwa chuo kwahiyo miaka 2 ilikuwa unrealistic. Tuliishi pamoja mwaka wa 3.5 na kufunga ndoa baada ya miaka 3. Zingatia muda wa kumaliza chuo, kutafuta kazi, na kupata pesa ya kulipia harusi (hatukutaka kupitisha kadi za michango!).

Mmmh muda haujalishi sana muhimu unaimani kuwa mmefahamiana vya kutosha, huwezi kumjua mtu kwa undani mpaka muwe mnaishi pamoja. Nionavyo mimi chini ya miezi 6 ni padogo sana na zaidi ya miaka 2 ni parefu sana, kama uko kwenye serious relationship for 2 yrs or more unless mmekubaliana muishi hivyo swala la ndoa sahau.
 
Beautiful story. Hongera sana!

Nianze mimi; nilikutana naye akiwa kwenye kambi ya UMISETA pale Ihungo secondary (alikuwa mwanafunzi Rugambwa Sec) tukafahamiana. Mwaka mmoja baadaye nilisafiri naye kwenye meli - train hadi Dar akiwa ananisindikiza chuoni. Muda wote huo sikumsumbua kwa mambo ya kujamiiana.
Mwaka mmoja baadaye niliamua kumtambulisha kwa ndugu zangu kama mchumba; hapo nilizunguka naye sehemu nyingi sana. Mwaka huo huo tulianza mipango ya kuoana. Hadi sasa ndo mama watoto wangu!
Ambao hamjaoa - fanyeni mambo kistaarabu; hakuna raha kama ya kuzoeana na mwenza wako kabla ya kujamiiana naye.
 
Umekosea, soma comments vizuri.

Vijana angalieni akina dada watakavyo comment kuhusu muda muafaka wa kuwa kwenye uchumba halafu muangalie wanavyofikiri na lengo lao. Akina dada watasema issue ya muda wa uchumba ni useless kwao hata ukikutana naye leo ukataka mkafunge ndoa kesho kwa wengi ni sawa tu. Hii ndio maana kuna jamaa alikatalia mbele ya pastor akaomba mmojawapo wa mabest girl anayetaka kuolewa na akajitokeza pale pale na kuvalishwa shela akaolewa. huyo hakuwahi chumbiwa. angalia kisa cha Yakobo na Leah kwenye bible; katika habari hii Yakobo alimchumbia Rachel kwa miaka 7 na siku ya ndoa akapewa Leah ambaye hakuwahi chumbiwa hata siku moja na akapewa mume na hakusema no.
Hii ndio inayonifanya nione kujadili muda gani unatosha kuwa kwenye courtship na mwanamke ni kupoteza muda kwani wao hawatakushauri kuchukua muda mrefu kwa kuhisi watazidiwa maarifa na wenzao
 
Kwa hali ya utapeli ulivyo siku hizi, mnaweza kuoana endapo tu mchumba ameleta referee watatu wenye mali zisizohamishika zenye thamani utakayotaja (unahitaji valuer hapa akuthaminishe). Baada ya hapo mnaingia ule mkataba wa kizungu sijui unaitwaje (ule wa chako ni chako na changu ni changu). Then muoane. Kama documents zote zikikamilika miezi 3 toka kukutana basi yote kheri.
 
Back
Top Bottom