Mmmh muda haujalishi sana muhimu unaimani kuwa mmefahamiana vya kutosha, huwezi kumjua mtu kwa undani mpaka muwe mnaishi pamoja. Nionavyo mimi chini ya miezi 6 ni padogo sana na zaidi ya miaka 2 ni parefu sana, kama uko kwenye serious relationship for 2 yrs or more unless mmekubaliana muishi hivyo swala la ndoa sahau.
Nianze mimi; nilikutana naye akiwa kwenye kambi ya UMISETA pale Ihungo secondary (alikuwa mwanafunzi Rugambwa Sec) tukafahamiana. Mwaka mmoja baadaye nilisafiri naye kwenye meli - train hadi Dar akiwa ananisindikiza chuoni. Muda wote huo sikumsumbua kwa mambo ya kujamiiana.
Mwaka mmoja baadaye niliamua kumtambulisha kwa ndugu zangu kama mchumba; hapo nilizunguka naye sehemu nyingi sana. Mwaka huo huo tulianza mipango ya kuoana. Hadi sasa ndo mama watoto wangu!
Ambao hamjaoa - fanyeni mambo kistaarabu; hakuna raha kama ya kuzoeana na mwenza wako kabla ya kujamiiana naye.
ndio kujuana ni vzr zaidi kabla ya ndoa lkn kumjua m2 tabia yake hadi ukae nae kwa mda mrefu unapo kua nae ktk mahusiano unaweza usigundue zile tabia zake za ajabu kutokana na kwamba huwa anaficha makucha yake kwanza atimize malengo yake akisha ingia sasa ndo utaona sheshe lake mda haujalishi katika ndoa ni upendo ndo unakua unamata kati yenu hata mwezi mnaweza kuoanaHii thread nahisi inawahusu sana walio kwenye ndoa...
Binafsi naamini kujuana vizuri kwanza ni vyema na husaidia kuepusha au kukubaliana na baadhi ya tabia ambazo huenda ingalikuwa kasheshe kama kusingalikua na kujuana vyema...
Kuna namna ya kutega wewe!ndio kujuana ni vzr zaidi kabla ya ndoa lkn kumjua m2 tabia yake hadi ukae nae kwa mda mrefu unapo kua nae ktk mahusiano unaweza usigundue zile tabia zake za ajabu kutokana na kwamba huwa anaficha makucha yake kwanza atimize malengo yake akisha ingia sasa ndo utaona sheshe lake mda haujalishi katika ndoa ni upendo ndo unakua unamata kati yenu hata mwezi mnaweza kuoana
Wana JF, mlichukua muda gani kuanzia kukutana na mwenza wako/ kuanza kudate mpaka ndoa? Kuna correlation kati ya muda unaochukua kumfahamu mtu, na furaha katika ndoa? Je mlikutana na surprises zozote baada ya kufunga ndoa?
Mtu ambaye hujazaliwa naye ni vigumu sana kuijua tabia yake halisimi siku ya kwanza tu kuonana nikapwea kitu nikakamua, lakini mpaka leo tunaishi wote na ndio mke wangu wa ndoa
Mtu ambaye hujazaliwa naye ni vigumu sana kuijua tabia yake halisi
Kuna namna ya kutega wewe!
Mmmh muda haujalishi sana muhimu unaimani kuwa mmefahamiana vya kutosha, huwezi kumjua mtu kwa undani mpaka muwe mnaishi pamoja. Nionavyo mimi chini ya miezi 6 ni padogo sana na zaidi ya miaka 2 ni parefu sana, kama uko kwenye serious relationship for 2 yrs or more unless mmekubaliana muishi hivyo swala la ndoa sahau.
Nianze mimi; nilikutana naye akiwa kwenye kambi ya UMISETA pale Ihungo secondary (alikuwa mwanafunzi Rugambwa Sec) tukafahamiana. Mwaka mmoja baadaye nilisafiri naye kwenye meli - train hadi Dar akiwa ananisindikiza chuoni. Muda wote huo sikumsumbua kwa mambo ya kujamiiana.
Mwaka mmoja baadaye niliamua kumtambulisha kwa ndugu zangu kama mchumba; hapo nilizunguka naye sehemu nyingi sana. Mwaka huo huo tulianza mipango ya kuoana. Hadi sasa ndo mama watoto wangu!
Ambao hamjaoa - fanyeni mambo kistaarabu; hakuna raha kama ya kuzoeana na mwenza wako kabla ya kujamiiana naye.
Vijana angalieni akina dada watakavyo comment kuhusu muda muafaka wa kuwa kwenye uchumba halafu muangalie wanavyofikiri na lengo lao. Akina dada watasema issue ya muda wa uchumba ni useless kwao hata ukikutana naye leo ukataka mkafunge ndoa kesho kwa wengi ni sawa tu. Hii ndio maana kuna jamaa alikatalia mbele ya pastor akaomba mmojawapo wa mabest girl anayetaka kuolewa na akajitokeza pale pale na kuvalishwa shela akaolewa. huyo hakuwahi chumbiwa. angalia kisa cha Yakobo na Leah kwenye bible; katika habari hii Yakobo alimchumbia Rachel kwa miaka 7 na siku ya ndoa akapewa Leah ambaye hakuwahi chumbiwa hata siku moja na akapewa mume na hakusema no.
Hii ndio inayonifanya nione kujadili muda gani unatosha kuwa kwenye courtship na mwanamke ni kupoteza muda kwani wao hawatakushauri kuchukua muda mrefu kwa kuhisi watazidiwa maarifa na wenzao