Date yako ya kwanza na mdada aliyejiweka wa matawi na amekusumbua sana

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,597
215,268
1114839
 
Mimi nimesoma na mchora kayuni hiyo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣, Nb: alinitesa sana alafu kawaida tu, m🤣🤣🤣🤣 you know what i mean....kawaida sana aisee
 
Mwanamama alijifanya mjuaji saana kumbe hata kuandika ni shida akiandika sms anachanganya herufi kubwa na ndogo, hakuna alama za uandishi, hatenganishi kati ya neno na neno, sentensi na sentensi, mbaya zaidi hajui hata kutiana aaaaarrrrrrggghhhhhh!!
Wapo wengi sana kama huyo
 
Kuna mdada alinitesa sana O level alikuwa wa kawaida tu nilifukuzana nae kama miaka mitatu ivi ni utoto tu na nikikumbuka hizo moment nabaki nacheka siku alikubali kutoa mzigo ilikuwa mwaka mpya wazazi kwao wote walienda kwenye party usiku mdau na mimi nkamchomoa madogo zake nkawanunulia mabunda ya viberiti wapige baruti wasiulize dada yuko wapi
 
Nilikutana na mkaka kutoka Sierra Lione , siku moja alinikaribisha kwao, ilikuwa J2, nilikwenda baada ya kutoka misa ya kwanza.

Kufika nilikuta meza imeandaliwa kwa breakfast.
Ni ugali wa jana ndiyo special breakfast yao na mchuzi wa samaki. Samaki ni mzima anawekwa kwenye sahani kubwa unajisaidia mwenyewe.

Nilishindwa kula ugali wa jana na chai asubuhi.
 
Mie kuna siku nilikuwa naenda Nairobi kupitia Sirari, kwenye siti nilikaa na dada mzuri, mjuaji, mrembo, maneno mengi
Sasa tulivyofika Sirari/Isibania ikawa ile ya kwenda kwenye ofisi za uhamiaji tunajaza fomu
Lahaula! kumbe yule dada hajui kusoma, achilia mbali kwamba hajui kingereza!!!
hahahahah, alikuwa amepanga gold mwili mzima, hahahahahahaahahhahahh
 
1999,Carnival Nairobi.Ofa kubwa tukaruhusiwa kula chochote,jamaa yangu Hussein akaagiza bakuli la soup ya pilipili.alilala njaa.
For the first and last time nilikula mamba.nilipokuja kujua nilitapika hadi utumbo!
 
Back
Top Bottom