DARUSO yadai katiba mpya-"UDOM tafakari kisha chukua hatua"

Jackbauer

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
6,038
2,199
Serikali ya wanafunzi UDSM inaungana na wananchi kudai katiba mpya.
Rais wa DARUSO bw Mathiasi Kipala amesema hivi karibuni wataichambua katiba iliyopo na kuandika 'katiba' wanayoitaka na kuiomba serikali kuifanyia kazi.
Bw.Mathias aliipinga kauli ya A.G na kusema ni vema kuwe na katiba mpya itakayokidhi mahitaji.

UDOM mmeyasikia hayo?tunasubiri tamko lenu.
 
Udom hawana hoja wale ni kusikia maoni ya chama chao tu.usitegemee kitu kutoka huko.Wale wanabembeleza ajira badala ya mawazo huru.
 
Back
Top Bottom