DARUSO, hii ni Awamu tofauti, msijeshangaa Chuo kimetangazwa kuwa shamba la korosho

Maramla

JF-Expert Member
Jan 8, 2014
581
642
Na Mwamba wa Kaskazini

Juzi vijana wa Serikali ya wanafunzi wa UDSM (DARUSO), walieleza changamoto mbalimbali zinazowakabili .

Nilipenda jinsi vijana walivyoeleza changamoto zile. Niliwaunga mkono 100 % ingawa kuna eneo walikosea; unaeleza changamoto ambayo hujui tiba yake then unatoa saa 72 kuwa utaandamana?Ina maana walikuwa na majibu ya kero yao?

Hapo ndipo lilipo kosa la kiufundi katika tamko lao la jana. Well, Serikali ikawasikia, viongozi wa Bodi na Wizara wakasema wanafanyiakazi.

Na kweli kufikia jioni wakawa wamekutana na uongozi wa UDSM na Daruso na wakaanza kutatua baada ya kusikia kiini cha tatizo moja hadi jingine. Bodi ikaeleza kuwa imeshatoa mikopo kwa first years 49k, wakiwa ni elfu nne zaidi ya idadi iliyowekwa awali-Serikali imetoa zaidi. Appriciatable!

Leo Waziri mlezi wa sekta naye akajitokeza kueleza kuwa zaidi ya TZS Bilioni 200 kati ya TZS Bilioni 450 zilizotengwa kwa mikopo zilishatolewa na Serikali.

Akaonya wanafunzi wanapokuwa na changamoto wafuate utaratibu badala ya kutoa vitisho kwa Serikali.

Ukizisoma bylaws za UDSM, kwa mfano, utaona wanafunzi kwa umoja wao, hawaruhusiwi kutoa mambo ya chuoni nje kama vile kwa media etc bila kushirikisha uongozi wa Chuo. Kuna chaneli ya mawasiliano. Kuna utaratibu.

Kwangu Waziri ametoa maelekezo ya dola. Sikiliza sasa wasomi wetu wa kisulisuli, eti Daruso imemjibu tena Waziri. Inamkebehi.

Wanamtisha na kuhamasishana kuandamana au kufanya fujo. Nimecheka sana kwa kweli

Yana critical thinking ya wasomi ndio imefikia hapa? Hii ndio shukrani ya Daruso inayopewa kila kitu na Serikali kwa maana ya mikopo ya wanafunzi iliyowahishwa kwa miaka minne bila kukosa?

Cha ajabu naona baadhi ya vijana wa UDSM na DARUSO wanawatag akina Zitto, Kigogo. Nimecheka sana yaani dah.Hawa ndio watawaokoa. Wazee wa Twitter wanaoogopa kwenda field.

Ngoja niwaambie jambo moja vijana wangu: Jana mliongoza kwa bao moja sasa mmezembea kulindi ushindi naona hapa score board mshafungwa mbili halafu mmezembea zaidi mmetoa penalti

Hii ni Awamu tofauti vijana wangu, msijeshangaa Chuo kimetangazwa kuwa shamba la korosho. Na hao wanaowarubuni, wataishia twitter nyie ndio mtakuwa shamba mnalima.

Shauri yenu!

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Unaelewa nguvu ya DARUSO au unaisikia.DARUSO sio sawa na UVCCM Daruso ina mamlaka yake yaliyotofauti na chuo japo wanafanya kazi kwa kushirikiana.Kama kudai haki yako ni kutisha serikali basi Tz tunasafari ndefu.Unajua makubaliano ya mwanafunzi na bodi ya mikopo ni yapi?inapaswa kushirikiana na Daruso na sio kuwatenga la sivyo basi tutakuwa tuzidi kuwa jalalani maana hata Ndalichako katoka jalalani anajua jinsi gani ni ngumu kuishi Dar bila msaada wa boom.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
_Na Mwamba wa Kaskazini_

Juzi vijana wa Serikali ya wanafunzi wa UDSM (DARUSO), walieleza changamoto mbalimbali zinazowakabili .

Nilipenda jinsi vijana walivyoeleza changamoto zile. Niliwaunga mkono 100 % ingawa kuna eneo walikosea; unaeleza changamoto ambayo hujui tiba yake then unatoa saa 72 kuwa utaandamana?Ina maana walikuwa na majibu ya kero yao???

Hapo ndipo lilipo kosa la kiufundi katika tamko lao la jana. Well, Serikali ikawasikia, viongozi wa Bodi na Wizara wakasema wanafanyiakazi.

Na kweli kufikia jioni wakawa wamekutana na uongozi wa UDSM na Daruso na wakaanza kutatua baada ya kusikia kiini cha tatizo moja hadi jingine. Bodi ikaeleza kuwa imeshatoa mikopo kwa first years 49k, wakiwa ni elfu nne zaidi ya idadi iliyowekwa awali-Serikali imetoa zaidi. Appriciatable!

Leo Waziri mlezi wa sekta naye akajitokeza kueleza kuwa zaidi ya TZS Bilioni 200 kati ya TZS Bilioni 450 zilizotengwa kwa mikopo zilishatolewa na Serikali.

Akaonya wanafunzi wanapokuwa na changamoto wafuate utaratibu badala ya kutoa vitisho kwa Serikali.

Ukizisoma bylaws za UDSM, kwa mfano, utaona wanafunzi kwa umoja wao, hawaruhusiwi kutoa mambo ya chuoni nje kama vile kwa media etc bila kushirikisha uongozi wa Chuo. Kuna chaneli ya mawasiliano. Kuna utaratibu.

Kwangu Waziri ametoa maelekezo ya dola. Loooh sikiliza sasa wasomi wetu wa kisulisuli, eti Daruso imemjibu tena Waziri. Inamkebehi.

Wanamtisha na kuhamasishana kuandamana au kufanya fujo. Nimecheka sana kwa kweli dah

Yana critical thinking ya wasomi ndio imefikia hapa? Hii ndio shukrani ya Daruso inayopewa kila kitu na Serikali kwa maana ya mikopo ya wanafunzi iliyowahishwa kwa miaka minne bila kukosa?

Cha ajabu naona baadhi ya vijana wa UDSM na DARUSO wanawatag akina Zitto, KigogoNimecheka sana yani dah.Hawa ndio watawaokoa. Wazee wa twitter wanaoogopa kwenda field.

Ngoja niwaambie jambo moja vijana wangu: Jana mliongoza kwa bao moja sasa mmezembea kulindi ushindi naona hapa score board mshafungwa mbili halafu mmezembea zaidi mmetoa penalti

Hii ni Awamu tofauti vijana wangu, msijeshangaa Chuo kimetangazwa kuwa shamba la korosho. Na hao wanaowarubuni, wataishia twitter nyie ndio mtakuwa shamba mnalima.

Shauri yenu!!!!
 
Gud fact,we are just watching the movies but myself i can see the starring of our movie has failed on its mission..
 
Mkuu naomba unisaidie jambo mona ambalo sijalielewa. Serikali inadai imeshatoa mkopo kwa wanafunzi mpaka idadi imezidi. Hawa madogo wanadai mkopo umecheleweshwa na wameipa serikali muda la sivyo wataandamana.

Swali: pesa iliyotolewa ni ipi na hii wanayotaka wanachuo ni ipi?
 
Back
Top Bottom