"Darubini" ni nini?

Translator

JF-Expert Member
May 19, 2017
286
297
Tumezoea sana kutumia neno "darubini" kwa maana ya kifaa kinachotumika hospitalini kwa ajili ya kuchunguzia vijidudu.

Lakini ukweli ni kwamba, hiyo si "darubini" bali ni "hadubini". Tazama picha A.

"Darubini" ni kifaa cha kuchunguzia anga. Tazama picha B.

upload_2017-6-20_8-25-9.png
 
Kuna Telescope ndio ya anga kama jina Tele means distance kuna Microscope hii ndio ya kuchekia vimelea Vidogo kama lilivo jina lake Micro ni kidogo, Ila mimi nataka Kujua kiswahili cha Binoculars
 
hahaaaaaaaaaaaa,atakaepatia nampa hadubin
 
Kuna Telescope ndio ya anga kama jina Tele means distance kuna Microscope hii ndio ya kuchekia vimelea Vidogo kama lilivo jina lake Micro ni kidogo, Ila mimi nataka Kujua kiswahili cha Binoculars
kifaa chakuangalizia vitu vilivyombali kwakutumia macho mawili....
 
binocular ni ile yenye sehemu mbili ya kuangalizia macho ile ya kivita unamchek adui......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom