"Darubini" ni nini?

Translator

JF-Expert Member
May 19, 2017
286
297
Tumezoea sana kutumia neno "darubini" kwa maana ya kifaa kinachotumika hospitalini kwa ajili ya kuchunguzia vijidudu.

Lakini ukweli ni kwamba, hiyo si "darubini" bali ni "hadubini". Tazama picha A.

"Darubini" ni kifaa cha kuchunguzia anga. Tazama picha B.


upload_2017-6-20_8-23-13.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom