Dart yazindua ujenzi wa miundo mbinu tayari kwa usafiri wa haraka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dart yazindua ujenzi wa miundo mbinu tayari kwa usafiri wa haraka

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kimatire, Aug 10, 2010.

 1. kimatire

  kimatire JF-Expert Member

  #1
  Aug 10, 2010
  Joined: Nov 27, 2008
  Messages: 365
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Leo JK amezindua ujenzi wa miundo mbinu ya mabasi uyaendayo kasi pale Ferry PICT0004.JPG PICT0002.JPG PICT0001.JPG PICT0003.JPG PICT0005.JPG .
   
 2. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #2
  Aug 10, 2010
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,583
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  At long last - kama sio mambo ya kampeni.
   
 3. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #3
  Aug 10, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
 4. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #4
  Aug 10, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Mboni naona nyotanyota?
   
 5. MpigaFilimbi

  MpigaFilimbi JF-Expert Member

  #5
  Aug 10, 2010
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,171
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 133
  Premonition?
   
 6. Kbd

  Kbd JF-Expert Member

  #6
  Aug 10, 2010
  Joined: Oct 9, 2009
  Messages: 1,264
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Its toooooo late mr. Presida............mbona kushakucha, huitaji shuka.
   
 7. MIUNDOMBINU

  MIUNDOMBINU JF-Expert Member

  #7
  Aug 10, 2010
  Joined: Apr 14, 2010
  Messages: 452
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Hakuna jipya hapo.ubabaishaji tu.
   
 8. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #8
  Aug 10, 2010
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  isiwe ikawa kiini macho cha kuombea kura!!:becky:
   
 9. Questt

  Questt JF-Expert Member

  #9
  Aug 11, 2010
  Joined: Oct 8, 2009
  Messages: 3,013
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Hizo kasi zitapitia wapi??? kwenye hizi hizi barabara zetu au kuna barabara special kwa ajili ya hayo mabasi??? Kama zipo zipi??? Yangu macho.... Ka kampeni ka kijinga sana haka......
   
 10. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #10
  Aug 11, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,463
  Likes Received: 5,846
  Trophy Points: 280
  Ha ha haa...anadhani anavuta shuka kumbe taulo.....kaoge kaka utoe uchafu
   
 11. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #11
  Aug 11, 2010
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,043
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  MBONA MNAJADILI SIASA BADALA YA MAENDELEO...? DART imekuja na mpango wa mabasi yaendayo haraka ....sio kasi......JK AMESEMA......maana kasi yatasababisha ajali....MPANGO HUU UNA PHASE 6...NA HII INAYOZINDULIWA NDO PHASE ONE.....MRADI UTAPUNGUZA MSONGAMANO KWA KIASI KIKUBWA SANA......(say basi moja linaweza ondoa magari madogo takribani 50 or more) na linaweza ondoa daladala 10........BARABARA ZITAJENGWA AMBAZO ZITAKUWA ZA ZEGE NA SIO LAMI...KWANI ZEGE INADUMU ZAIDI......PAMOJA NA HAYO , MIPANGO MINGINE YA KUPUNGUZA FOLENI NI KUJENGA MADARAJA/BARABARA ZA JUU YAANI FLYOVERS 6, KUTUMIA RELI, KUANZISHA NIGHT SHIFT.....SERIKALI HAITANUNUA MABASI HAYO BALI YATAENDESHWA NA WATU BINASFI...JK AKASISITIZA KUSEMA WAZALENDO TUCHANGAMKIE HIYO.....!
   
Loading...