Wadau naomba kuuliza ktk lile tangazo la kazi la darts kulikuwa zile nafasi 80 za station assistants, nimejaribu kuangalia candidates walioitwa kwa usaili lakin post hyo haikuwa listed kabisa!! Wenye taarifa sahihi naomba mnijuze mana mimi niliomba kupitia post hyo na kwa sasa nipo mkoani