DART shida nini mpaka leo haijaanza????

babumapunda

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
4,643
3,299
Mradi wa mabasi yaendayo kasi DART uliuwa uanze kutoa huduma zake rasmi kuanzia leo na mpaka sasa hakuna hata dalili ya mabasi hayo kuanza kuhudumu.

nadhani ni vema serekali ingeweka wazi kama wameshindwa au wamekosa mtu wa kuendesha mradi huu.
 
Ma miradi ya kijinga ya CCM kama ule wa bandari ya Bagamoyo. Soon utavunjwa kupisha mradi wa flyover kutoka Dar mpaka chalinze. Yaani utafikiri wanawaza kwa kutumia makalio!
 
Wakuu mi nahisi hapo baada tu ya mjadala kutolewa wa marekebisho ya nauli na wananchi kupinga vikali nauli zilizokuwa zimewekwa nikajua kabisa huo utakuwa ni mpango uliopangwa wa kuweza kurefusha muda kwa ajili ya kumalizia matengenezo ya huo mradi kwanza ili waziri mkuu asije akaonekana kituko baada ya kutoa tarehe ya mradi kuanza ,,,,!!
 
Mhhhhhhhhhhhhhhh kmb bado hayajaanza ................ngj nm2mie ujumbe uncle magu
 
Mradi wa mabasi yaendayo kasi DART uliuwa uanze kutoa huduma zake rasmi kuanzia leo na mpaka sasa hakuna hata dalili ya mabasi hayo kuanza kuhudumu.

nadhani ni vema serekali ingeweka wazi kama wameshindwa au wamekosa mtu wa kuendesha mradi huu.
Ccm ni watu wa kukurupuka na huo mradi utaishia kimya kimya kama wa treni ya mwakyembe
 
Wakuu mi nahisi hapo baada tu ya mjadala kutolewa wa marekebisho ya nauli na wananchi kupinga vikali nauli zilizokuwa zimewekwa nikajua kabisa huo utakuwa ni mpango uliopangwa wa kuweza kurefusha muda kwa ajili ya kumalizia matengenezo ya huo mradi kwanza ili waziri mkuu asije akaonekana kituko baada ya kutoa tarehe ya mradi kuanza ,,,,!!
Mkuu huo ndio tunaita ubabaishaji kitu ambacho hatukihitaji tena kwa sasa, kwani kuna shida gani wakisema mradi bado?
 
Wakuu mi nahisi hapo baada tu ya mjadala kutolewa wa marekebisho ya nauli na wananchi kupinga vikali nauli zilizokuwa zimewekwa nikajua kabisa huo utakuwa ni mpango uliopangwa wa kuweza kurefusha muda kwa ajili ya kumalizia matengenezo ya huo mradi kwanza ili waziri mkuu asije akaonekana kituko baada ya kutoa tarehe ya mradi kuanza ,,,,!!
inamana mradi bado haujakamilika
 
Kampuni ina daiwa ushuru wa yale mabasi zaidi ya sh billion 8 na inaonekana wali zipitisha bandarini haraka kama gia ya kisiasa. Ina wezekana ikawa ndio sababu hazija anza kazi mpaka leo. Halafu ile kampuni ilikopa sh billion 15 kununua hizo basi na kama wana marejesho kila mwezi itakua imekula kwao kwa sababu ni muda mrefu sasa basi bado hazija anza kazi. Bora wafie mbali tu kwa sababu hii project wameipata kiujanja ujanja tu wakati uwezo hawana.
 
Tatizo miradi mingi serikali ya Tanzania imetengenezwa kwa ajili ya watu wachache kupiga deal zao hapo na sio kwa manufaa ya watanzania. Serikali ya JPM inahitaji muda kubadili hii miradi ili iwanufaishe watanzania. Mfano mradi ya DART, Coco beach
 
Dart wanadaiwa ushuru unaodaiwa kufikia 8 billion Tsh hivyo kusitisha unzaji wake jmapili hii;kwa mujibu wa magazeti wiki hii
 
Wasemaji na watoa amri ni wengi kuliko utekelezaji. Siasa zikizidi sana inakuwa tabu.
 
Back
Top Bottom