Pascal Ndege
JF-Expert Member
- Nov 24, 2012
- 2,977
- 1,897
Ni miezi kadhaa sasa imepita DART walitangaza kupata hasara. Leo kupitia gazeti la mwananchi nimekuta wametoa tenda ya extension ya mradi wa phase one na kututangaza kununua magari ya 4WD hardtop, Nikajiuliza hivi kwa barabara zetu za hapa Dar, Dart wana haja ya kununua magari ya aina hii? Au wamepania kupiga na kuzifisadi pesa za mkopo waliyopewa na Africa Development Bank? Arafu sijajui ni mkopo ule ama wameongeza mwingine tena . Hebu mwenye detail atueleze. Haya haya matumizi mabaya ya pesa yalifanya makampuni baadhi ya ulaya kipindi cha 2013 kufilisika kwasababu wakurugenzi walikuwa wanamatumizi mabaya ya pesa. Sasa nina hisia baada ya ufisadi kubanwa naona kama Dart wanaenda extramile ufisadi.