DART KUNA MGOMO??WAANDISHI HABARI MSAADA PLS

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,906
22,023
Kituoo cha kariakooo msimbazi kumejaa wananchii hakuna basis inayosimama na hats ikipita unaona baada ya nusu saaa


Wah wa DART kuna mgomO??ama mmepunguza mabasi manager toka ofisini njoo kituoni krkoo

Wamamawajawazito wanajazana chini
 
Back
Top Bottom