Anahitajika mtu wa kusafisha dola nyeusi

ankai

JF-Expert Member
Nov 25, 2017
3,280
4,236
Anaitajika mtu wa kusafisha dola nyeusi kma wewe una uwezo huo ni dm biashara ifanyike only kwa walio serious
 
Anaitajika mtu wa kusafisha dola nyeusi kma wewe una uwezo huo ni dm biashara ifanyike only kwa walio serious
Wataalam wanapatikana kny mashirika ya UN..Ila ninawajua wengi tu..njoo inbox tutete biashara..ila Mimi nitakuwa kama dalali tu...wakukutanisha na huyo mtu endapo nitaridhika pasi na shaka kuwa kweli wewe una uhitaji huo kweli..
 
Anatafutwa mtu wa kupigwa sasa...movie ndio inaanzia hapo.
Wee m****hakuna mtu anayetaka kupigwa iyo ni dili kwa wanaozijua izo dollar nyeusi watatoa mchango wao hapa
 
Hakuna kitu kinaitwa "dark dollar" hapa duniani. Ni utapeli tu wa watu na uwongo. Mwaka 2005 nilikutana na mtu akisema eti anazo dolla nyeusi na anatafuta dawa ya kuzisafisha.

Nilifanya kila niwezalo ikiwa ni pamoja uchunguzi wa kina na baada ya kugundua nikajua kuwa hakunaga kabisa dark dollar bali ni utapeli tu wa watu. Utapeli huu hauna tofauti na ule wa "red mercury". Hakunaga "red mercury" hapa duniani.
 
Wataalam wanapatikana kny mashirika ya UN..Ila ninawajua wengi tu..njoo inbox tutete biashara..ila Mimi nitakuwa kama dalali tu...wakukutanisha na huyo mtu endapo nitaridhika pasi na shaka kuwa kweli wewe una uhitaji huo kweli..
wewe pia ni tapeli. hakuna hii biashara
 
Back
Top Bottom