Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 61,943
- 156,090
Counting one day ...To gooo threeeee dyz
Hurrrrrayyyyy kwa Yoga hurrrrrayyyyy!!
Counting one day ...To gooo threeeee dyz
Usiku ni muda wa KAZI lala kdg, yatosha.Bado ni usiku lakini inanilazimu kuamka tu japo usiku hauna baraka kamwe ila hata mwanga wa mwezi unafanania kidogo na jua japo hauna joto ila kuna baridi😇
Kama ni hivi nakuunga mkono BT. BT ni WA muhimu sana kwenye hii nchi, watu hawajui tuAnazuia kampuni isije kuangukia kwenye mikono ya lady gaga wa huko akawa remoted na CEO anaemaliza Muda Wake!!
Pia inaonekana P mrefu na freedom zinaiva!Sasa sijui Bt anafaidikaje na Ruto akichukua mikoba ya kampuni!!
Wakuu...ile kampuni ya jirani...inafaa tuelewe kwamba wao wana system yao ya ma ceo. Yani ma ceo wao wanachaguliwa na board of directors kutoka kwenye jopo la board of directors...ambao ndio wamiliki wa kampuni(wana hisa kubwa kuliko customers). Yani mchezo unabaki pale pale....hata customer awe na c.v iliyoje ni ngumu sana afikie u ceo...Kama ni hivi nakuunga mkono BT. BT ni WA muhimu sana kwenye hii nchi, watu hawajui tu
Nakunywa maji kwanzaWakuu...ile kampuni ya jirani...inafaa tuelewe kwamba wao wana system yao ya ma ceo. Yani ma ceo wao wanachaguliwa na board of directors kutoka kwenye jopo la board of directors...ambao ndio wamiliki wa kampuni(wana hisa kubwa kuliko customers). Yani mchezo unabaki pale pale....hata customer awe na c.v iliyoje ni ngumu sana afikie u ceo...
Kampuni yetu...bado iyo system hakuna...ndo maana kila ceo amekuwa wa tofauti flani ivi, ila BT ndio anataka ianzisha.
Sasa ceo anayeondoka... hana mazoea na ceo p mrefu wa ile kampuni iliyo jirani na kwetu...wale ni washindani kwenye u ceo.. maanake kila mmoja anataka kampuni yake iwe inaongoza kwenye ukanda mzima wa majirani.
Na pia hawezi kumuachia uceo yule toru. Maana toru sio mzawa wa board of directors kama odii...
toru ni customer aliyefikia ngazi za juu sana...na isitoshe hawezi kuwa ceo...maanake anakotoka kuna mwana wa ceo aliyetangulia mbele za haki kwa jina la imo...na uyo uyo imo ndie alimpa toru uwezo wa kufikia hapo ila toru akajaa kichwa, kabla imo arudishe jezi kwa kipa, alisha kasirishwa na toru hata hakutaka kuonana nae. Kuna wakati imo alimkalisha toru masaa karibia sita na bado hukuonana nae na hapo toru alikuwa assistant ceo.
Yani toru ameamua kupambana uso kwa uso na board of directors...ubaya sasa hafati zile 48 laws of power.
Odii yeye, ni amekuwepo kwenye board of directors...na pia lady gaga wake. Yani hapo lady gaga wake hawezi kuwa deep informer hata kidogo...na istoshe haziivi hata kidogo na toru. Unaambiwa lady gaga wao ndio atasimamia mchongo mzima wa kumueka toru ndani kwa shtaka la kuhujumu kampuni.
Odii yeye...ni board of directors wameona wamueke kwa sababu ana njia mbadala ya kuimarisha maisha ya customers na wenye kampuni bila kuleta mgongano. Na pia ni ili kuvunja mipango iliyokuwa inaleta vurugu ambayo ilianzishwa na baba yake ceo anayeondoka, na ingeendelea...kampuni ingekufa.
Toru akipata...hapo jirani patakuwa kama jiwe alivyokuwa. Na bora ata jiwe alikuwa kidogo customers wa chini kabisa anawaelewa...mnaambiwa huyo toru ni mafia. Na isitoshe atataka kuwalipizia board of directors kama jiwe alivyomfanyia BT...kwa iyo hawataruhusu ivi ivi.
Na ceo anayeachia anataka hata akiachia ngazi...bado awe na maamuzi, yani board of directors ibaki pale pale...kitu ambacho toru atakipinga.
Kwa situesheni hii je mabomu hayatarindima huko na kupelekea vifo vingi vya kastamazi???Wakuu...ile kampuni ya jirani...inafaa tuelewe kwamba wao wana system yao ya ma ceo. Yani ma ceo wao wanachaguliwa na board of directors kutoka kwenye jopo la board of directors...ambao ndio wamiliki wa kampuni(wana hisa kubwa kuliko customers). Yani mchezo unabaki pale pale....hata customer awe na c.v iliyoje ni ngumu sana afikie u ceo...
Kampuni yetu...bado iyo system hakuna...ndo maana kila ceo amekuwa wa tofauti flani ivi, ila BT ndio anataka ianzisha.
Sasa ceo anayeondoka... hana mazoea na ceo p mrefu wa ile kampuni iliyo jirani na kwetu...wale ni washindani kwenye u ceo.. maanake kila mmoja anataka kampuni yake iwe inaongoza kwenye ukanda mzima wa majirani.
Na pia hawezi kumuachia uceo yule toru. Maana toru sio mzawa wa board of directors kama odii...
toru ni customer aliyefikia ngazi za juu sana...na isitoshe hawezi kuwa ceo...maanake anakotoka kuna mwana wa ceo aliyetangulia mbele za haki kwa jina la imo...na uyo uyo imo ndie alimpa toru uwezo wa kufikia hapo ila toru akajaa kichwa, kabla imo arudishe jezi kwa kipa, alisha kasirishwa na toru hata hakutaka kuonana nae. Kuna wakati imo alimkalisha toru masaa karibia sita na bado hukuonana nae na hapo toru alikuwa assistant ceo.
Yani toru ameamua kupambana uso kwa uso na board of directors...ubaya sasa hafati zile 48 laws of power.
Odii yeye, ni amekuwepo kwenye board of directors...na pia lady gaga wake. Yani hapo lady gaga wake hawezi kuwa deep informer hata kidogo...na istoshe haziivi hata kidogo na toru. Unaambiwa lady gaga wao ndio atasimamia mchongo mzima wa kumueka toru ndani kwa shtaka la kuhujumu kampuni.
Odii yeye...ni board of directors wameona wamueke kwa sababu ana njia mbadala ya kuimarisha maisha ya customers na wenye kampuni bila kuleta mgongano. Na pia ni ili kuvunja mipango iliyokuwa inaleta vurugu ambayo ilianzishwa na baba yake ceo anayeondoka, na ingeendelea...kampuni ingekufa.
Toru akipata...hapo jirani patakuwa kama jiwe alivyokuwa. Na bora ata jiwe alikuwa kidogo customers wa chini kabisa anawaelewa...mnaambiwa huyo toru ni mafia. Na isitoshe atataka kuwalipizia board of directors kama jiwe alivyomfanyia BT...kwa iyo hawataruhusu ivi ivi.
Na ceo anayeachia anataka hata akiachia ngazi...bado awe na maamuzi, yani board of directors ibaki pale pale...kitu ambacho toru atakipinga.
Kwenye ile kampuni, wanataka wawe na mfumo wa mbadilishano wa ma ceo ambao hapatawahi kuwa na ugomvi na pia system ya board of directors iaminike kwa ma customer.Kwa situesheni hii je mabomu hayatarindima huko na kupelekea vifo vingi vya kastamazi???
Huyo mwandishi hana tofauti na Watz wanavyosimulia freemason. Wanasema in siri sana jla wao siri zote wanazo🤣🤣View attachment 2318886
Hiki kitabu kimenyambua kwa kiasi chake
Yoga alishasema kitambo kuwa huku TZ kukiwa usiku, huko alipo ni mchana.Mtaingiza watu kwenye matatizo bure acheni hisia zisizokua na tija, wakati unaweza kuta mwenye uzi wake yupo USA anaratibu mgogoro wa Taiwan na China, acheni Mambo aya wakuu
kama yoga ni mange atakuwa na stress sana mda huu, anafatilia Instagram page yake. Ila kama kweli kesho chebukati atatangaza matokeo, na yoga akaja kuendelea nitamwamini mileleYoga alishasema kitambo kuwa huku TZ kukiwa usiku, huko alipo ni mchana.
Ni heri mkiwa na hisia za kuwa yoga ni Mange
Anyway tuachane na hisia hizo tusubiri 00:00 session 2 itaachiliwa tujimwage.
Ngoja tuvute subirakama yoga ni mange atakuwa na stress sana mda huu, anafatilia Instagram page yake. Ila kama kweli kesho chebukati atatangaza matokeo, na yoga akaja kuendelea nitamwamini milele
00:01+Aisee Yoga, kumbuka ahadi ni deni. Siku ya siku ndiyo hiyoooo imewadia, macho na masikio vyote vimebakia tu kwako.