Vi rendra
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 3,259
- 5,573
Unaamini uchawi mkuu?Nope sababa zimeitwa dark arts ni sababu huraiani hazijulikani na huzi hufundishwa kwa askar maalumu tu.
Serikal za wenzetu hawaamini ktk uchawi.. wanaamin ktk science ya hali ya juu.
Sent using Jamii Forums mobile app