Poa chief...!dua njema.
Poa chief...!dua njema.
Yanafundishwa ila kwa Comando special force unit kipo pale Ngerengere Moro.Kwa hapa bongo iyo mafunzo ipo
Spell inakuwaje kiongozNiko na wewe
Kuna site kadhaa nimefuatilia za uchawi wa kizungu ambapo unaweza kumuuwa mtu Bila kumdhuru wala kushiriki moja kwa moja kwa kutumia spell
Uko deep.Utamu wa ngoma unaujua ukicheza.
Nimeangalia kwa makini hilo begi na kuangalia hao Northern face ni akina nani na wanafanya nini na wana bidhaa gani ?
Moja wapo ya bidhaa ambayo northern face wanaiuza ni sleeping bag( begi la kulalia)
Mabegi ya kulalia yapo ya aina nyingi kutegemeana na matumizi, na ni mabegi ambayo binadamu mwenye ukubwa wowote anaweza akaingia ndani akajifungia zipu na akajikinga na baridi(hali ya hewa mbaya) n.k. Haya mabegi yanatumika sana kwenye ma kempu, pia watu wanaolala kwenye tent lakini pia yanaweza yakatumika indoor ( ndani ya nyumba) kutegemeana na hitaji la mtumiaji.
Kwa muktadha huu, nimepata picha kuwa inawezekana muhusika aliingia kwenye sleeping bag peke yake bila kushurutishwa na mtu na ajali ikatokea, ingawa pia tujiulize hali ya hewa ilikuwaje wakati huo?
Pia inawezekana katika hilo begi kulikuwa na sumu au kuliwekwa aina ya sumu ambayo inaua kwa haraka sana na inapotea hewani kwa haraka sana bila kuja kugundulika kiurahisi.
Inawezekana pia hapo aliponunua begi au kama halikuwa jipya basi pale wanapoliosha wamehusika na wanajua mchezo mzima.
Nimewaza kingombaro ngombaro tu, sina ufahamu wa hayo mambo ila nipo tayari kukosolewa na kujifunza.
Sent using Jamii Forums mobile app
hapo kwa Sergio Ramos umetudanganya
Haka kaswali kananikera hebu wacha Nikujibu...'HOW MUCH IS TOO MUCH?'
Duuuh hii mpya hiiKuna vitu vingine huku uswahilini vinafanyika tunaona kawaida tu km hyo dark art kuna mshikaji mtaani akiwa hana kitu anaweza kuingia duka lolote akachukua vitu anavyotaka na akatoka bila kulipa hata 100 hila anasema mashart yake wanaouza wasimuone macho yake yaani macho yake na ya wenye duka yasikutane wakati anaingia hila Akishafika kwenye za kutundikia nguo anatia kwenye begi hata pair 20 na anaondoka bila kuwaangalia usoni na maduka yana camera.
Itafakari
Angalia hiyoView attachment VID-20181007-WA0009.mp4Write your reply...wanaposema jasusi anapita kama upepo haonekani kwenye cctv,haina maana kuwa kweli hupita pale kimazingara,hawa watu kabla ya kwenda kufanya tukio sehemu,wanastudy eneo na kuangalia camera ziko angle gani,kwahiyo anapopita anapita angle ambayo camera haitamnasa,na kama coverage ni ngumu kuikwepa wanahack mfumo wa cctv usiweze kunasa matukio kwa mda atakaoukua anaingia hadi kutoka mahali
We jamaa unamjua hadi yule bibi wa bugando pale igogoBaadhi ya majasusi huwa ni wachawi kumshinda hata bibi wa bugando mwanza cc@likud
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuuh hyo kaliKWA SISIS TULIOLELEWA KWENYE DINI ZOTE: uisilamu na ukiristo...PIA TUKAPELEKWA SHULE NJE YA NCHI...pia tukaishi maisha ya chini na tabu...halafu TUKAIBUKA UTADHANI TULIKUWA TUMEFICHWA KWENYE TANULU LA MOTO...tunayo majibu ya mnachozungumzia ILA HATUWEZI KUSEMA...by force by fire.
jamaa kaua AiseeeDuuuh hyo kali