Dark arts za intellijensia na utata wa kifo cha jasusi

Huu uzi kwa maoni yangu mnapoingiza ushirikina au uchawi kwenye mambo ya kijasusi mnakosea. Kujiridhisha kwamba William aliuliwa kwa kutumia mbinu ya dark arts tungepata japo matukio kama watatu ambayo yanafanana au yanakaribiana na hilo la William. Lakini kuingiza uchawi kwenye issue sensetive kama ujasusi ni kushindwa kuelewa then unalileta kwenye mambo ya kichawi.

Kifo cha william kilisababjshwa ama na yeye mwenyewe au kuuwawa lakini wapelelezi walipokosa ushahidi wakaishia kuita dark arts ambayo nadhani walimaanisha nguvu za giza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu uzi kwa maoni yangu mnapoingiza ushirikina au uchawi kwenye mambo ya kijasusi mnakosea. Kujiridhisha kwamba William aliuliwa kwa kutumia mbinu ya dark arts tungepata japo matukio kama watatu ambayo yanafanana au yanakaribiana na hilo la William. Lakini kuingiza uchawi kwenye issue sensetive kama ujasusi ni kushindwa kuelewa then unalileta kwenye mambo ya kichawi.

Kifo cha william kilisababjshwa ama na yeye mwenyewe au kuuwawa lakini wapelelezi walipokosa ushahidi wakaishia kuita dark arts ambayo nadhani walimaanisha nguvu za giza.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ni vizuri pia ukawalenga wale wote unaowasoma wanangiza uchawi na kuuhusisha moja kwa moja na dark arts.
 
KWA SISIS TULIOLELEWA KWENYE DINI ZOTE: uisilamu na ukiristo...PIA TUKAPELEKWA SHULE NJE YA NCHI...pia tukaishi maisha ya chini na tabu...halafu TUKAIBUKA UTADHANI TULIKUWA TUMEFICHWA KWENYE TANULU LA MOTO...tunayo majibu ya mnachozungumzia ILA HATUWEZI KUSEMA...by force by fire.
Haaa mkuu fungukaaa!!

mndamba kutoka Ifakara
 
Kwa hapa bongo,ukiwa askari ,unaingia front,, asilimia kubwa lazima ufanyiwe kinga zakutosha.kwa mfano nilishawahi kufanya kazi kigoma,,wakati na report kazini,wazee wa pale,walinipa ushauri,kijana kama umeshika dini,shika kweli kweli,na kama unaamini utamaduni,basi njoo utuone,ili ufanye kazi vizuri kulingana na mazingira yetu,,mambo niliyojionea,mtu anakuja na bangi kwenye kikapu,akifika karibu yetu,tunaona ni mchicha,akiruhusiwa kupita,,anacheka tu,,na kuna siku,,mdada kaja kituoni,,analalamika anachapwa viboko,anayemchapa hatumuoni,,ili leta changamoto sana,,mpaka tulivyokaa sawa.
Mkuu uko sawa kabisa, hiyo nimeshuhudia kibiti ni hatarii sanaaaa aise japo ilikuwa kwa Polisi na si mwanajeshi !!!!

mndamba kutoka Ifakara
 
Ahsante Zitto Jr kwa kuniita, ntajaribu kuelezea kidogo.

Dark Arts ni mbinu fulani itumikayo kwa siri dhidi ya adui kumuumiza, kumdhuru, kumdhibiti, na pia hata kumuua.

Ni kama uchawi lakini hufanywa kwa siri sana kiasi cha kutoweza kugundulika kwa haraka au hata kwa uchunguzi wa kawaida.

Kwenye michezo khasa mpira wapo wachezaji ambao wanaaminika kwamba wana utaalam wa hizi dark arts. mchezaji mmojawapo ni Sergio Ramos.

Kwenye fainali ya kombe la klabu bingwa ya Ulaya, Sergio Ramos alikuwa na kazi ya kumdhibiti Mohamed Salah.

Lakini Mohamed Salah alionekana angeweza kufunga magoli wakati wowote ule na ndipo ulipokuja wakati muafaka kwa Sergio Ramos kumdhibiti Salah.

Ramos alitumia mbinu ya kumshika Salah na akamvuta chini lakini huku akihakikisha Salah anaumia bila mwamuzi kugundua hiyo mbinu ya Sergio Ramos na akafanikiwa kumwangusha Salah ambae aliangukia bega na kaumia na kisha akatolewa.

Kwa sisi wataalam tunaokua tukiangalia game kama lile pia huwa tunaangalia "dark arts possibilities" kutoka kwa baadhi ya wachezaji.

Mwamuzi wa hakuona kosa lolote na Sergio Ramos hakupewa kadi yoyote kutokana na kitendo chake hicho.

Kilichotokea ni kwamba Livepool wakaishiwa nguvu yaani walidhibitiwa na mwishowe Real Madrid wakashinda mechi hiyo.

Hivyo kwenye michezo zipo dark arts na wapo wachezaji ambao hufahamika kuwa wanatumia mbinu hizo ila kwa minajili ya kuwadhibiti baadhi ya wachezaji wa timu pinzani.

Hilo nimekupa ni eneo la kwenye michezo lakini kwenye maeneo kama ya ujasusi, mbinu za dark arts hutumika sana khasa pale majasusi wa nchi fulani wanapokuwa wamezagaa kwenye nchi ya adui.

Sasa inapotokea wale majasusi wa hiyo nchi ya kigeni ambao wengi wanakuwa ni waumini wakubwa wa dark arts wakagundua jambo fulani kwamba litawadhuru au kuwaanika basi huamua kutumia hizo dark arts kwa adui yao na kupoteza ushahidi kabisa.

Ndyo maana huyo kijana alikuwa ni mtaalam wa "coding" ambapo inasemwa labda aliweza kugundua jambo huko kwenye viwanja vya majasusi na alipogundula ikaamuliwa kifanyike kitu chaitwa subject discarded.

Au mwingine yule wa Russia ambae hadi leo hajakamatwa mtu yoyote kule Uingereza ambae alitumia hizo dark arts kumdhuru kwa sumu yeye na mwanae.

Hivyo kwa kifupi ni kwamba dark arts ni mbnu mbaya za siri zitumikazo kumdhuru, kuumiza na hata kumuua adui bila kuweza kuacha alama au ishara za kuja kugundulika.
hapo kwa Sergio Ramos umetudanganya
 
Mkuu niliwahi kusoma kwenye kitabu fulani kuwa wakati wa world war 2 kuna wanajeshi wa hitler waliokuwa sio wanadamu yaani unaweza piga risasi akawa hafi au anapotea kimazingara tu ndio ikaletwa nadharia kuwa hitler alikuwa mshirika wa hizo "sayansi za giza" hivyo alitumia majini au watu waliopikwa kigiza ili wawe na uwezo wa ajabu kama kupotea,kujificha hata kwenye uwazi nk.

Kuhusu waarabu Wakati wa vita ya Bosnia & herzegovina kujitenga toka Serbia kuna kikosi cha "waarabu" kutoka lebanon walikuwa wanaitwa pale tu ambapo waasi wa bosnia wakiwa wapo mita 100 kutoka majeshi ya adui.... Wakifika tu wanavunja "ukuta" wa adui alafu ndio majeshi ya wabosnia ndio wanasonga mbele yaani bila hao waarabu kutia timu jeshi lilikuwa haliwezi kusogea hata mita 10!! Hivyo watu wakaja na nadharia kwamba kwakuwa waarabu wanahusudu mambo ya majini basi huwa wanayatumia sana vitani so unapigana na roho usiyoona na hata kuna magaidi kibao tu kwenye simulizi za waliokumbana na magaidi wa Al shabaab au Al qaeda huwa wanatokea eneo ghafla na kulipuka hapo hapo bila kuonekana alipotoka lakini nachojiuliza kwanini hayo majini ya ISIS hayakusaidia kumtandika urusi au saddam hayakumsaidia kuwamaliza wazungu wasiokuwa na imani hizo.

Ndio maana huwa nawaza hizi serikali huwa zinatumia hizi sayansi za giza maana bila hivyo tungekuwa tunatumia wachawi vitani badala ya wanajeshi!!
Mi ninachojua hata Marekani wanatumia nguvu za giza...Kipindi cha vita Afghanistan drones zilikuwa hazilipuki hata Al Jazeera walizionyesha sana.....Yaani midege ya kivita ya America ikirusha bomu halilipuki linatua hivyo hivyo kama lichuma tu watoto mitaani walikuwa wanayachezea.. Hata Osama alikuwa na hizo nguvu na zilimsaidia asikamatwe...Osama hakuuwawa na majeshi ya Marekani, bali alikufa kifo cha kawaida kwa ugonjwa wa homa ya matumbo...Ile ya Marekani ilikuwa movie tu ya kuihadaa Dunia
 
Kwa wale walio practice mchezo wa kung fu (martial art kiujumla) nikiachana na wale ambao wanafanya ile ya street leo mazoezi kesho haupo na lengo lako kujua kujilinda kwa kujua blocking, punching na kucheza mateke!! Hawa weka kando!! Namaanisha wale waliofikia hatua ya kuwa addicted na hii mchezo na huku akifanya meditation ya uhakika, sidhani kama atasema dark art ni uchawi!!

Wazee hii mambo ni muunganiko wa nguvu za kiroho na kimwili na huwa muhusika huwa anazihisi kabisa hizi nguvu (naongea yale niliyokwisha experience) nguvu hizi hukufanya kuwa na uwezo wa kumwangalia mtu na kumuamuru afanye kile unachokita wewe bila yeye kugundua, waweza fanya manipulation ya mtu bila yeye kujua, imani yako huwa kali kuliko kawaida na confidence yako huwa inakuwa juu si kawaida hata kuwa tayari kutembea popote mda wowote bila uoga!!

Mkuu martial art ina mengi achana na hizi street karate /wushu tunazocheza!!

Fuatilia history ya shauolin kung fu kiundani utaelewa, ila kama haupo interested na mambo ya martial arts na hujawahi ingia katika huo ulimwengu, kwako hili lazima itakuwa ni uchawi tu!!

Tofauti na hayo, siye huku tunaangaika kujua secrets ambazo hata mkuu wa nchi haruhusiwi kizijua na ni wachache special ndo huchaguliwa kujifunza mambo haya!! Chimba kuhusu ranks katika shoulin kung fu mpaka ufikie stage ya kuitwa Monk utaelewa!!
Kuna masters wa martial arts kibao ila hii technique siyo ya kila mtu ni level nyingine kabisa!!

Ila ukweli ni kwamba mtu yeyote anaweza jifunza hiki kitu coz ni possible, zaidi uwe tayari kimwili na kiroho na ujitengenezee positive attitude toward it, otherwise hutoiweza na utabakia kuwa uchawi kwako wewe mpaka kifo!!

Mashivoo salam kwenu!! Hoss

Sent using Jamii Forums mobile app
yap yap kuna watu wanazima mshumaa kwa kuuangalia tu
 
Back
Top Bottom