Dare if you can. This is the tallest building in East and Central Africa kissing the sky.

Kuna Wakenya ambao wamekisoma kiswahili hadi chuo kikuu na wanaongea kiswahili sanifu na wanakifahamu pengine kushinda mtanzania wa kawaida kama wewe. Msomi wa lugha kutoka Kenya anaweza linganishwa tu na msomi wa lugha kutoka T.Z. Tofautisha wasomi wa kiswahili na Wakenya wa kawaida ambao wengine hawakienzi lugha letu takatifu.
Mimi kisw nakifaham vizuri sana,japo sijabobea kwani sikukipa uzito unaostahili.
 
Hata mjenge gorofa mia tano,who cares ?
Mbona hasira?
Aki tuongee tu ukweli. Mi ni mtz but naendaga mara kwa mara nbo as Kuna manzi yangu pale embakasi. Ni confess kimiundo mbinu nai wametuacha compared to dsm. Fly overs akati sie tuna moja tu ya mfugale but nai ziko zingi tuu ukipita uhuru road utaziona. Lambda terminal III ikifunguliwa ndio tutaweza compete na jomokenyata int airport.
Kifupi tu mashemeji mko juu ki miundombinu.
Waambie wenzako akina tuusan
 
Mimi kisw nakifaham vizuri sana,japo sijabobea kwani sikukipa uzito unaostahili.
Kwa kawaida, Mtanzania wa kawaida anakifahamu kiswahili vizuri kushinda Mkenya wa kawaida, hilo halina ubishi. Hata Wakenya wenyewe wanakubali kwamba hilo ni ukweli.
 
Kwa kawaida, Mtanzania wa kawaida anakifahamu kiswahili vizuri kushinda Mkenya wa kawaida, hilo halina ubishi. Hata Wakenya wenyewe wanakubali kwamba hilo ni ukweli.
Wewe umewezaje maana wakenya wengine hapa bado hawewez kuunda hata sentensi moja ikanyooka
 
Nikwel unaweza kua na macho na usione...
Ni nini cha kushinda mtu kuona hapo?
images (66).jpeg
images (65).jpeg


TELPOSTA TOWERS
teleposta-towers.jpg
teleposta.jpg
Hiyo ni Kama kusema kwamba haya majengo mawili ya Nairobi pia ni twin towers
NSSF BUILDING
 

Attachments

  • images (66).jpeg
    images (66).jpeg
    28.1 KB · Views: 19
  • images (65).jpeg
    images (65).jpeg
    40.5 KB · Views: 19
Ndio maana katika list ya nyumba ndefu zingine hazihusishi nyumba zenye spire just get you r facts right
Hata tukitoa Britam bado Kenya inadominate list. Mlishinda mkilialia floors sahii hamuezi hata taja kitu Kama floors hapa. Tishio kubwa kwa Nairobi ni Addis Ababa. Dar mko nyuma Sana. Nairobi bado ndio kusema.
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom