Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,017
- 16,427
Hahaha anataka useme "imefanana" instead of "imekaa".Si wivu, that thingy is not appealing to my eyes.
Bora umeelewa what I meant then its okay, imekaa ama wollefa
Hahaha anataka useme "imefanana" instead of "imekaa".Si wivu, that thingy is not appealing to my eyes.
Bora umeelewa what I meant then its okay, imekaa ama wollefa
Mimi kisw nakifaham vizuri sana,japo sijabobea kwani sikukipa uzito unaostahili.Kuna Wakenya ambao wamekisoma kiswahili hadi chuo kikuu na wanaongea kiswahili sanifu na wanakifahamu pengine kushinda mtanzania wa kawaida kama wewe. Msomi wa lugha kutoka Kenya anaweza linganishwa tu na msomi wa lugha kutoka T.Z. Tofautisha wasomi wa kiswahili na Wakenya wa kawaida ambao wengine hawakienzi lugha letu takatifu.
Mbona hasira?Hata mjenge gorofa mia tano,who cares ?
Waambie wenzako akina tuusanAki tuongee tu ukweli. Mi ni mtz but naendaga mara kwa mara nbo as Kuna manzi yangu pale embakasi. Ni confess kimiundo mbinu nai wametuacha compared to dsm. Fly overs akati sie tuna moja tu ya mfugale but nai ziko zingi tuu ukipita uhuru road utaziona. Lambda terminal III ikifunguliwa ndio tutaweza compete na jomokenyata int airport.
Kifupi tu mashemeji mko juu ki miundombinu.
Kwa kawaida, Mtanzania wa kawaida anakifahamu kiswahili vizuri kushinda Mkenya wa kawaida, hilo halina ubishi. Hata Wakenya wenyewe wanakubali kwamba hilo ni ukweli.Mimi kisw nakifaham vizuri sana,japo sijabobea kwani sikukipa uzito unaostahili.
Wewe umewezaje maana wakenya wengine hapa bado hawewez kuunda hata sentensi moja ikanyookaKwa kawaida, Mtanzania wa kawaida anakifahamu kiswahili vizuri kushinda Mkenya wa kawaida, hilo halina ubishi. Hata Wakenya wenyewe wanakubali kwamba hilo ni ukweli.
Wakenya walioko hapa hawafiki hata Mia!Wewe umewezaje maana wakenya wengine hapa bado hawewez kuunda hata sentensi moja ikanyooka
Iyo si twin towers ni single building with two wings,twin tower no kama mzizima na pspf towers.....wabongo mnapenda ubishi wa kijingaNikwel unaweza kua na macho na usione...
Hatufiki hata 30 leave alone mia.Wakenya walioko hapa hawafiki hata Mia!
Wewe unawajua wa hapa kenyan forumsHatufiki hata 30 leave alone mia.
a building ni a structure where more than 50% of its total height is habitable, so more that 50% of Britam is habitable. Na spires is a very common thing, for aesthetic purposes etcThe building is ok but spire is 60M alone which doesn't make any sense to what you r saying...
really? nipe mfanoNdio maana katika list ya nyumba ndefu zingine hazihusishi nyumba zenye spire just get you r facts right
Ni nini cha kushinda mtu kuona hapo?Nikwel unaweza kua na macho na usione...
Tunaweza. We did a lot of inshas in high school, na fasihi na other weird things but tuko more comfy tukitype in English ama mix ya Eng na SwaWewe umewezaje maana wakenya wengine hapa bado hawewez kuunda hata sentensi moja ikanyooka
Sawa. .Tunaweza. We did a lot of inshas in high school, na fasihi na other weird things but tuko more comfy tukitype in English ama mix ya Eng na Swa
Sema wanaitanga shen.Tunaweza. We did a lot of inshas in high school, na fasihi na other weird things but tuko more comfy tukitype in English ama mix ya Eng na Swa
yeah yeah thatSema wanaitanga shen.
Hata tukitoa Britam bado Kenya inadominate list. Mlishinda mkilialia floors sahii hamuezi hata taja kitu Kama floors hapa. Tishio kubwa kwa Nairobi ni Addis Ababa. Dar mko nyuma Sana. Nairobi bado ndio kusema.Ndio maana katika list ya nyumba ndefu zingine hazihusishi nyumba zenye spire just get you r facts right
Sheng' . Kiswahili tunaongea ya kawaida. Madoido mingi wapeleke Bongo.Tunaweza. We did a lot of inshas in high school, na fasihi na other weird things but tuko more comfy tukitype in English ama mix ya Eng na Swa
Victoire imagine hujaambiwa poa😂😂You are just a bad example of the good people of Danganyika