Darassa hii sasa too much, Wimbo wa 'Muziki' umetikisa Bongo nzima

1481391072527.png

DARASA FT BEN POL ~ MUZIKI

1.2 MILLION VIEWS
 
Nyimbo nzur sana sana.mashair mazuri,Producer kafanya vizur.na ben pol kanogesha zaidi..Ila nadhan ben pol alitakiwa apate muda zaidi ili kunogesha zaidi.Vinginevyo ngoma ni nzuri tumpe sifa zake.
 
Ndo shida nyingine hiyo ya kurusha mawe kizani likimpata MTU unadhani atakaa kimya thubutuuu
 
lakini kale ka mstari kanakosema.

Si simba so chui so mamba... sijui nini nini kujigamba....

kana harufu ya kutuma salamu kwa wale wanaojiuta mara simba, tembo mara nyani mzee...
 
Nilisoma mahali kua ilichukua zaidi ya miaka 4 kuandaa hii nyimbo...nikimanisha kuanza kutunga mashairi na midundo na vionjo.

2 Milion Views..still trending..

1482327878861.png
 
Hivi Anaingiza Pesa Yoyote Kwenye Hizo Views Au Ni Misifa Tu ?
Mkuu kuna namna ya kupata mkwanja kupitia views za you tube usione akina diamond hua wana update fans wake na kutoa link ya video zake hadi instagram..
kifupi ukiwa na views milion 1 una dola zako 1000$ kibindoni ...
sasa fikiria watu kama adele nyimbo yake ya hello ina views zaid ya bilion piga hesabu hapo ana shiling ngapi
lakini hio process inaitwa monetization na kuna process tu ndogo ndogo na visheria tudogo dogo lazima uzifate kutoka you tube ili kwenda nao sawa..
sasa hii elimu naamin wasanii weng watakua wanaijua sasa namin pia DARASA atakua anaifahamu..
 
Hayo Yote Unayoyasema Nayafahamu Sana Mkuu Lakini Kina Diamond, AY, Kiba, Wasanii Wa Wasafi Wanashirikiana Na Kampuni Fulani Ya Kenya Kupata Pesa Kupitia You Tube, Lakini Wasanii Wengine Kama Hawa Kina Darasa , Sijui Nuh Mziwanda Ni Kufuata Mkumbo Tu Wa Kusherehekea Views Lakini Sidhani Kama Walishamonetize YouTube Channel Zao
 
Basi watakosa vitu vingi mkuu
labda washtuke ..hapa ndo unaona umuhim wa kua na managament inayoyajua haya mambo kuhakikisha kwamba kila kaz yako ya mziki unaifahidi matunda yake.
 
Basi watakosa vitu vingi mkuu
labda washtuke ..hapa ndo unaona umuhim wa kua na managament inayoyajua haya mambo kuhakikisha kwamba kila kaz yako ya mziki unaifahidi matunda yake.
Marekani, Nigeria Na India Ni Moja Ya Nchi Zenye Internet Entrepreneur Wengi Sana - Wanapata Sana Pesa Kupitia YouTube Na Websites

- Yaani Mtu Ukiwa Na Video Yako Moja Ukaiweka Kwenye Channel Yako Na Ikaenda Viral Kama Ile Ya Mwalimu Aliyepiga Mwanafunzi Mbeya, Unakuwa Milionea Ndani Ya Muda Mfupi Sana

- Mfano Nuh Mziwanda Feat Alikiba Alipata Views Kibao Kupitia Jikeshupa, Lakini Sidhani Kama Alipata Chochote Cha Maana

- WCB Wasafi Ni Wajanja Ndo Maana Hata Wimbo Wa Dullysykes/Harmonize - Inde Uko Kwenye Monetised Akaunti Ya Harmonize Na Siyo Akaunti Ya DullySykes
 
Similar Discussions

35 Reactions
Reply
Back
Top Bottom