Sambusa kavu
JF-Expert Member
- May 4, 2015
- 797
- 1,264
- Thread starter
- #21
wewe mwenyewe mbona unaonekana ni team darasa!
Mkuu mimi ni timu mziki mzuri.
wewe mwenyewe mbona unaonekana ni team darasa!
nafikiri hivyoKwaiyo mkuu unataka kusema wakina Mondi wameshaacha mchezo wa kununua au?? maana Kokoro nayo ni siku ya 5 leo lakini ina 665k
Watu wameshtukia mchezo wao wanasubiri upepo utulieKwahiyo mkuu unataka kusema wakina Mondi wameshaacha mchezo wa kununua au?? maana Kokoro nayo ni siku ya 5 leo lakini ina 665k
Umezoea muziki wa ujanja ujanja mziki mzuri huwezi kuuelewaAlafu wimbo huu mbona mbovu sana.
Hapo punguza views laki3 mlizonunua
Jina lake tu makalio... Unaweza kuargue na makalio?I bet you, hii kitu lazima itagonga +3mil
Kama too much ina viwers mil 1 sasa hivi hii ngoma itapata kama mil 9 baada ya mwakaitakomea Laki 9
KwakoAlafu wimbo huu mbona mbovu sana.