Darasa la Ujasiliamali

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Dec 22, 2010
16,985
20,263
*Ukipata wazo la kuhitaji kuingia katika Shughuli yoyote ile ya UjasiriaMali Mkubwa Au Mdogo, Fanya Haya Yafuatayo Kabla Ya Kujitosa.

1). Fanya Utafiti Wa Biashara Husika Ili Ujue Lugha Ya Bidhaa Yako, Faida, Changamoto Na Mengineyo.

2). Mtafute Mtu Wa Mwaminifu Wa Kukushika Mkono (Mentor) Ili Akuonyeshe Mlango Wa Kuingilia Na Wakutokea, Dhumuni Ni Kupata Uzofu Na Mbinu Mbadala Za Kufikia Malengo Yako.
>Ifahamike Kwamba Huwa Ni Ngumu Kidogo Kumpata Mentor Wa Kukuongoza Maana Ni Jambo Linalohusisha Mgongano Wa Kimaslahi So Huleta Hofu Kwa Wengi Wanaofanya Biashara Kama Unayotaka Kuifanya.
>Unaweza Pia Kuongea Na Waajiriwa Au Watu Ambao Walishawahi Kufanya Biashara Hiyo Then Wakaiacha Kwa Namna Moja Ama Nyingine.

3). Baada Ya Mambo Yote Hapo Juu, Unaweza Kuanza Kufanya Uwekezaji Wako Lakn Ni Vyema Ukaanza Kwny Msimu Ambao Bidhaa Yako Inapatikana Au Inatoka Kwa Urahisi Ili Tu Kuepuka Ushindani Na Wazofu Wa Biashara Husika.
>Fanya Hivyo Hata Kama Mtaji Wako Ni Mkubwa Kuliko Wazoefu Maana Wazoefu Wana Mbinu Nyingi Sana Za Kuweza Kukuangusha Ktk Msimu Ambao Bidhaa Hupatikana Kwa Nadra Sana Wakat Mahitaji Yako Juu Sokoni. Kumbuka Kuwa Wazoefu Wana Wigo Mpana Hata Kama Mitaji Yao Ni Midogo Maana Network Yao Ni Kubwa Sana Kuanzia Shambani Hadi Sokoni Tofauti Na Mjeni Kama Wewe.

Mfano> Subiri Maembe Yawe Yanapatkana Kwa Urahisi Ndio Uanze Biashara Yako Ili Uwekeze Mtaji Mdogo Bila Kujali Faida Kubwa Sana Kwa Dhumuni La Kupata Uzoefu Zaidi Na Zaidi Na Kujiandaa Kujiongoza Mwenyewe Kwny Msimu Mgumu.

*Shughuri Zote Za Kiuchumi Zinahitaji Utafiti Yakinifu Ili Kutengeneza B'ness Plan Nzuri Ambayo Italeta Matokeo Chanya Kwny Uwekezaji Wako.
>Wengi Wetu Hatupendi Kufanya Utafiti Kwa Kukwepa Gharama Lakn Tumesahau Falsafa Isemayo Kuwa
"Utafiti Ni Hasara Lakn Ni Faida."
Utafiti Unatoa Mwanga Wa Uelekeo Wa Biashara Yako Hata Kabla Hujaanza Kuifanya Licha Ya Kwmb Unagharama Za Hapa Na Pale.

*Wengi Wanapotaka Kuanza UjasiriaMali Wanawaza Faida Tu Lakn Hawajui Au Wamesahau Kwamba Faida Ni Matokeo Au Jambo La Mwisho Kabisa Baada Ya Mambo Yote Kufanyika Tena Kwa Ufasaha.

*Mimi Sioni Kama Ni Vyema Kwa Mtu Kuendelea Kuajiriwa Kwenye Ajira Ambayo Hata Yeye Mwenyewe Anauwezo Wa Kuwekeza Kimtaji, Ana Uzoefu, Fikra Pevu, Anajua Changamoto Na Mengneyo.

*Unaweza Kuajiriwa Kwa Maana Ya Kutafuta Uzoefu Ktk Biashara Husika Ama Kutafuta Mtaji Lakn Mwisho Wa Siku Andaa Mazingira Ya Kujiajiri Mwenyewe. Usiwe Mtumwa Wa Kufanya Kazi Za Watu Wakat Malipo Ni kidogo Na Mazingira Ya Kazi Ni Magumu.

*Kama Ni Mama Lishe, Basi Anza Kununua Kifaa Kimoja Kimoja Kama Vile Jiko, Sufuria Na Mahitaji Mengineyo Then Ukikamilisha Vyote Sasa Unaweza Kuacha Ajira Na Kujiajiri.
>Kumbuka Kuwa Na Mtaji Wa Kulinda Biashara Yako (Working Capital) Ili Uweze Kutatua Shida Ama Matatzo Yanayojitokeza Papo Kwa Papo Kwa Mahitaji Yaliyopelea.

*Jiamini Na Usiwe Mapepe Maana Kutengeneza Wateja Si Jambo Rahisi Sana Japo Liko Ndani Ya Uwezo Wako Wewe Mwenyewe.

ASIKUDANGANYE MTU.
>Hakuna Biashara Rahisi Chini Ya jua Ila Penye Ugumu Kuna Mafanikio.

>Hakuna Biashara Mbaya Chini Ya Jua Labda Ile Ambayo Imekatazwa Kisheria Au Ktk Maandiko.

>Hakuna Biashara Isiyo Na Faida Na Wala Hakuna Biashara Isiyo Na Hasara.
>Faida Na Hasara, Vyote Ni Haki Ya MjasiriaMali.

*NGOJA NIKUKUMBUSHE KITU NDUGU YANGU.
>Kamwe Huwezi Kupata Faida Ama Hasara Bila Uthubutu. Uthubutu Ndio Njia Ya Mafanikio Ama Kufeli Lakn Pia Uthubutu Ndio Unamfanya MjasiriaMali Kuwa Jasiri Na Kufikia Malengo Yake.

NB: UTAJIRI HUJA KWA WENYE KUIFUATA HOFU WAKAT UMASIKINI HUENDA KWA WENYE KUIKWEPA HOFU.

"Kuna watu wasipokuelewa maneno na matendo yako, mshukuru Jah, wewe bado unafikra chanya, wakianza kukuelewa jichunguze ni wapi umeanguka maana umeanza kuwaza kama wao"
 
Mkuu unacho sema ni sahihi Kabisa,huwa nasoma makala mbalimbali za watu walio fanikiwa hasa mataifa mengine ukiachilia mbali huku Bongo ambako mafanikio yao mengi yana walakini, Ila kwa wenzetu kila kitu kiko wazi na kwa kweli walifanikiwa baada ya kuhangaika sana,

Mafanikio some time huchukua hadi 30 years au hata zaidi ya hapo au chini kabisa ya hapo, Ila kikubwa ni kuto kata tamaa,

Mkuu Yericko Nyerere asante sana kwa maada nzuri
 
Last edited by a moderator:

Pamoja sana mkuu,
 
Last edited by a moderator:
*Ukipata wazo la kuhitaji kuingia katika Shughuli yoyote ile ya UjasiriaMali Mkubwa Au Mdogo, Fanya Haya Yafuatayo Kabla Ya Kujitosa.

1). Fanya Utafiti Wa Biashara Husika Ili Ujue Lugha Ya Bidhaa Yako, Faida, Changamoto Na Mengineyo.

2). Mtafute Mtu Wa Mwaminifu Wa Kukushika Mkono (Mentor) Ili Akuonyeshe Mlango Wa Kuingilia Na Wakutokea, Dhumuni Ni Kupata Uzofu Na Mbinu Mbadala Za Kufikia Malengo Yako.
>Ifahamike Kwamba Huwa Ni Ngumu Kidogo Kumpata Mentor Wa Kukuongoza Maana Ni Jambo Linalohusisha Mgongano Wa Kimaslahi So Huleta Hofu Kwa Wengi Wanaofanya Biashara Kama Unayotaka Kuifanya.
>Unaweza Pia Kuongea Na Waajiriwa Au Watu Ambao Walishawahi Kufanya Biashara Hiyo Then Wakaiacha Kwa Namna Moja Ama Nyingine.

3). Baada Ya Mambo Yote Hapo Juu, Unaweza Kuanza Kufanya Uwekezaji Wako Lakn Ni Vyema Ukaanza Kwny Msimu Ambao Bidhaa Yako Inapatikana Au Inatoka Kwa Urahisi Ili Tu Kuepuka Ushindani Na Wazofu Wa Biashara Husika.
>Fanya Hivyo Hata Kama Mtaji Wako Ni Mkubwa Kuliko Wazoefu Maana Wazoefu Wana Mbinu Nyingi Sana Za Kuweza Kukuangusha Ktk Msimu Ambao Bidhaa Hupatikana Kwa Nadra Sana Wakat Mahitaji Yako Juu Sokoni. Kumbuka Kuwa Wazoefu Wana Wigo Mpana Hata Kama Mitaji Yao Ni Midogo Maana Network Yao Ni Kubwa Sana Kuanzia Shambani Hadi Sokoni Tofauti Na Mjeni Kama Wewe.

Mfano> Subiri Maembe Yawe Yanapatkana Kwa Urahisi Ndio Uanze Biashara Yako Ili Uwekeze Mtaji Mdogo Bila Kujali Faida Kubwa Sana Kwa Dhumuni La Kupata Uzoefu Zaidi Na Zaidi Na Kujiandaa Kujiongoza Mwenyewe Kwny Msimu Mgumu.

*Shughuri Zote Za Kiuchumi Zinahitaji Utafiti Yakinifu Ili Kutengeneza B'ness Plan Nzuri Ambayo Italeta Matokeo Chanya Kwny Uwekezaji Wako.
>Wengi Wetu Hatupendi Kufanya Utafiti Kwa Kukwepa Gharama Lakn Tumesahau Falsafa Isemayo Kuwa
"Utafiti Ni Hasara Lakn Ni Faida."
Utafiti Unatoa Mwanga Wa Uelekeo Wa Biashara Yako Hata Kabla Hujaanza Kuifanya Licha Ya Kwmb Unagharama Za Hapa Na Pale.

*Wengi Wanapotaka Kuanza UjasiriaMali Wanawaza Faida Tu Lakn Hawajui Au Wamesahau Kwamba Faida Ni Matokeo Au Jambo La Mwisho Kabisa Baada Ya Mambo Yote Kufanyika Tena Kwa Ufasaha.

*Mimi Sioni Kama Ni Vyema Kwa Mtu Kuendelea Kuajiriwa Kwenye Ajira Ambayo Hata Yeye Mwenyewe Anauwezo Wa Kuwekeza Kimtaji, Ana Uzoefu, Fikra Pevu, Anajua Changamoto Na Mengneyo.

*Unaweza Kuajiriwa Kwa Maana Ya Kutafuta Uzoefu Ktk Biashara Husika Ama Kutafuta Mtaji Lakn Mwisho Wa Siku Andaa Mazingira Ya Kujiajiri Mwenyewe. Usiwe Mtumwa Wa Kufanya Kazi Za Watu Wakat Malipo Ni kidogo Na Mazingira Ya Kazi Ni Magumu.

*Kama Ni Mama Lishe, Basi Anza Kununua Kifaa Kimoja Kimoja Kama Vile Jiko, Sufuria Na Mahitaji Mengineyo Then Ukikamilisha Vyote Sasa Unaweza Kuacha Ajira Na Kujiajiri.
>Kumbuka Kuwa Na Mtaji Wa Kulinda Biashara Yako (Working Capital) Ili Uweze Kutatua Shida Ama Matatzo Yanayojitokeza Papo Kwa Papo Kwa Mahitaji Yaliyopelea.

*Jiamini Na Usiwe Mapepe Maana Kutengeneza Wateja Si Jambo Rahisi Sana Japo Liko Ndani Ya Uwezo Wako Wewe Mwenyewe.

ASIKUDANGANYE MTU.
>Hakuna Biashara Rahisi Chini Ya jua Ila Penye Ugumu Kuna Mafanikio.

>Hakuna Biashara Mbaya Chini Ya Jua Labda Ile Ambayo Imekatazwa Kisheria Au Ktk Maandiko.

>Hakuna Biashara Isiyo Na Faida Na Wala Hakuna Biashara Isiyo Na Hasara.
>Faida Na Hasara, Vyote Ni Haki Ya MjasiriaMali.

*NGOJA NIKUKUMBUSHE KITU NDUGU YANGU.
>Kamwe Huwezi Kupata Faida Ama Hasara Bila Uthubutu. Uthubutu Ndio Njia Ya Mafanikio Ama Kufeli Lakn Pia Uthubutu Ndio Unamfanya MjasiriaMali Kuwa Jasiri Na Kufikia Malengo Yake.

NB: UTAJIRI HUJA KWA WENYE KUIFUATA HOFU WAKAT UMASIKINI HUENDA KWA WENYE KUIKWEPA HOFU.

"Kuna watu wasipokuelewa maneno na matendo yako, mshukuru Jah, wewe bado unafikra chanya, wakianza kukuelewa jichunguze ni wapi umeanguka maana umeanza kuwaza kama wao"

Kaka hongera kwa post nzuri kabisa. I wish vijana wengi wa kitanzania wangeelewa hilo.

Entrepreneurs are motivated by freedom(eg.financial freedom,time freedom,choice etc)
Employee are motivated by fear (fear of having money for food,clothes,school fees) they seek security which is not there!
 
Asante sana mkuu!
 
Back
Top Bottom