Hii spidi za kuzaana Kama mbwa hatutakaa tusonge mbele… 4 years back shule za kata zilizidi kuwa nyingi kuliko idadi ya wanaohitajika Leo itabidi tuongeze hizo shule zaidi ya zilizopo!

Serikali itakua inacheza kushoto kulia kila siku kazi ipo!

Watanzania wanazaliana Kama mchwa maendeleo itakua ni ndoto!
Waliambiwa na marehemu wafyatue haswa
 
Limetolewa maelezo sana hilo!
Rejea sababu za tozo za miamala kama zilivyotolewa na mawaziri husika.
 
Ukubwa wa nchi ya Zambia unakaribiana kidogo na Tanzania. Cha ajabu Zambia ina watu milioni 18 Tanzania milioni 60

Tuendelee kuzaa kwa kwenda mbeeere.
 
Wewe unataka uzae hovyo Serikali halafu serikali ihudumie wanao? Kwanza hii elimu bure ni ujinga mtupu, zilikuwa cheap politics za Jiwe hizi, elimu bure inakuja kutengeneza wanafunzi wa ajabu sana mbele ya safari, maana sidhani kama hela wanayotoa serikali inatimiliza mahitaji yote muhimu kwa shule zote TZ
 
Leo Wanafunzi 1.1million wa Shule za Misingi Wanafanya Mitihani yao ya Kumaliza Elimu ya Msingi.
Kati ya Hao Wanafunzi 500,000 Wanatarajiwa kuchaguliwa Kuendelea na Masomo ya SEKONDARI.Je Wanafunzi Waliobaki yaani 600,000 mini HATIMA yao?
Je SERIKALI ina Mipango gani kwa Hao Wanafunzi?
Au Mzigo ni WA WAZAZI husika?
Au Ndio MACHINGA,BODABODA na WAPIGA DEBE kwenye STENDI za MABASI?

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
Mbona rahisi tu kwa hao 600,000

1. Kuna ambao watenda private schools
2. Kuna ambao wataendaa vyuo vya ufundi technical schools
3. Kuna ambao wata anza ujisiria mali immediately ili waje kuwaajiri wale laki tano
4
 
ha
Wewe unataka uzae hovyo Serikali halafu serikali ihudumie wanao? Kwanza hii elimu bure ni ujinga mtupu, zilikuwa cheap politics za Jiwe hizi, elimu bure inakuja kutengeneza wanafunzi wa ajabu sana mbele ya safari, maana sidhani kama hela wanayotoa serikali inatimiliza mahitaji yote muhimu kwa shule zote TZ
hata kama ada ingekuwepo ya shilingi 100,000/- kwa shule ya kata bado isingetosha kugharamia elimu bado hata kwa kiwango hicho elimu ni bure.
ni kweli inaweza kuwa ni cheap politics lakini hujakutana na vijana wenye akili wamefauru shule vipaji maalum wameshindwa kwenda shule kwa ajiri ya shillingi 35,000 ya ada au 20,000 ya ada.
au hujakutana na familia inaenda kumpa mbunge mbuzi kama shukrani kwa kumlipia ada mtoto wao kwa kuwa kipindi hicho hawakuwa na ada.(sio wakauze mbuzi wapate ada hapana ni kumpa mbunge na kumfanya mbunge apate mbuzi wa 60,000 kwa 20,000)
hujakutana na mbunge anahesabu kura zaidi ya 3000 kwa kuwalipia wanafunzi 20,000 wanafunzi ada akitumia 20,000,000/- kwa mwaka
sasa kivuli chote hiki kiliondoka
 
Una point mzee, lakini lazima kuwe na sense ya responsibility kwa wazazi, huyo mzazi unayesema anashindwa kulipa 20k unaweza kumkuta kila siku yupo kilabuni anakunywa pombe na kununulia wanawake nyama choma!!
 
Mdau siri kali hizi za kiafrika hazipo kumsaidia raia mnyonge, viongozi na watawala wetu wapo madarakani kutetea kikundi cha wachache wenye nacho pamoja na ndugu jamaa na marafiki zao.
Hivyo jipange wewe na sirikali ya nyumbani kwako( familia) kuwaendeleza vizazi vyako.
Na hii sio kwa chama pendwa pekeee hata hawa wanaitwa wapinzani sasa hivi wakiingia madarakani nao ndio hayohayo watayarudia.
Sisi waafrika ukitaka kujua tabia zetu halisi ni pale tunapokuwa na Mali na madaraka.
 
Mbona rahisi tu kwa hao 600,000

1. Kuna ambao watenda private schools
2. Kuna ambao wataendaa vyuo vya ufundi technical schools
3. Kuna ambao wata anza ujisiria mali immediately ili waje kuwaajiri wale laki tano
4
Unafahamu maana ya Technical schools

Mkuu hivi Ifunda Tech, Iyunga Tech au Moshi Tech unafahamu wanajifunza utumbo gani huko?

Acha kubwabwaja mkuu, Hakuna kitu kwenye hizo shule kabisa

Umejaa theory kichwani na unakariri mambo mkuu

Sent from my INE-LX2 using JamiiForums mobile app
 
Kwani ulitegemea kule wakafundishwe nini dhidi ya theory? Au madaktari vyuoni wanafundishwa nini? Ingekuwa ni practical mda wote si hospitali zingekuwa zimejaa maiti.

Wanasoma theory vyuoni na practical kidogo then wakiingia mtaani wana practice walichosoma and with time they will be gurus in their fields.
 
Una point mzee, lakini lazima kuwe na sense ya responsibility kwa wazazi, huyo mzazi unayesema anashindwa kulipa 20k unaweza kumkuta kila siku yupo kilabuni anakunywa pombe na kununulia wanawake nyama choma!!
umenikumbusha mbali sana!
ndo maana wanashindwa kuuza mbuzi 60,000/- walipe ada ila wanamshukuru mbunge na kumpa mbuzi kwa kuwalipia 20,000/-.
tushuru tuko mjini fikiria mkulima anatoka na viazi kwenda kuuza mjini jioni anarudi na viazi vilivyokaangwa kanunua mjini na alizeti anayo nyumbani.
 
Back
Top Bottom