Darasa la saba na hesabu za kuchagua, tutafika lini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Darasa la saba na hesabu za kuchagua, tutafika lini?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by MAKOLE, Aug 16, 2012.

 1. MAKOLE

  MAKOLE JF-Expert Member

  #1
  Aug 16, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 601
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Serikali imeamua kuanzisha mfumo mpya wa utahini wa elimu ya msingi ambapo masomo yote sasa, mpaka Hisabati itakuwa ni mtihani wa majibu ya kuchagua. Wataalamu watakaoandaliwa katika mfumo huu watakuwa ni wataalamu wa aina gani? Kwa maana kuanzia kidato cha 1 watapata shida kuweza kukokotoa hesabu kwani hawana msingi imara wa somo hilo kwani aina hii inasababisha mwanafunzi kuotea jibu. Tutafika?
   
 2. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #2
  Aug 16, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,875
  Likes Received: 1,561
  Trophy Points: 280
  Mungu wangu sirudi huko Tz hadi wanangu wamalize angalau shahada ya kwanza
   
Loading...