Darasa la SABA kufanya mtihani kwa kutumia OMR | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Darasa la SABA kufanya mtihani kwa kutumia OMR

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by dedam, Mar 2, 2012.

 1. dedam

  dedam JF-Expert Member

  #1
  Mar 2, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 846
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Mwaka huu darasa la saba wanatarajiwa kufanya mitihani kwa kujaza majibu kwe fomu maalumu ziitwazo OMR. Watatumia pensel maalum za hb. Je wanafunzi wetu wataweza kweli kwa mfumo huu mpya. Ukizingatia kuna kipindi walikuwa wakijisajili kwa kutumia OMR baraza wakaziondoa baada kuona Madudu yakifanyika hasa kwa shule za vijijini?
   
 2. M

  MYISANZU Senior Member

  #2
  Mar 2, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 101
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Who cares? Sector ya elimu ni kokoro la kila matatizo.
   
 3. dedam

  dedam JF-Expert Member

  #3
  Mar 2, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 846
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  je wenzetu nao wanafanya hivi?
   
 4. dedam

  dedam JF-Expert Member

  #4
  Mar 9, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 846
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Ni mfumo mzuri lakini lakini unahitaji maandalizi ya kutosha
   
 5. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #5
  Mar 10, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Kwanini unahisi watashindwa?
   
 6. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #6
  Mar 10, 2012
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,120
  Likes Received: 615
  Trophy Points: 280
  Hehe penseli maalimu za HB sio! Ni mfumo mzuri kama wakifanya maandalizi, kuwe na sample exams kabla ya mtihani wenyewe, pia maswali karibia yote yanabidi yawe ya multiple choice sasa.
   
Loading...