Darasa la saba aukwaa u-DC

Kanyunyu

JF-Expert Member
May 2, 2012
335
495
Ndugu wana jamii katika kile kinachoonekana kulipana fadhila ndani ya serikali hii, aliyekuwa mbunge wa chalinze 2005-2010 RAMADHANI A MANENO, alishindwa vibaya kwenye kura za maoni mwaka 2010 baada ya kuwadanganya wapiga kura wake kwamba angejiendeleza kielimu,na hakufanya hivyo, mpaka anateuliwa mkuu wa wilaya ya KIGOMA elimu yake ni DARASA LA SABA_____________TAFAKARI.
 
Kwani kuna kazi gani ya kumshinda darasa la saba. Hiyo kazi ataiweza. Sijui in job description?
 
mhhh. kazi kwelikweli, kama ni darasa la 7 kwelikweli atakuwa hata ung'eng'e haupandi! na ikitokea wakija wageni kutembelea wilaya yake kutoka ng'ambo atakuwa anawakimbia kama mshikaji wangu fulani ambaye ni mwenyekiti wa halmashauri na ni standard 7 lever anapatashida sana wakija wageni lazima atakula kona na kumwachia kazi makamu mwenyekiti wa halmashauri ambaye ni form 4 amsaidie kazi
 
Mbona mgombea umakamu wa Rais kwa tiketi ya Chadema mwaka 2010 alikuwa darasa la saba?.
.
"MADARAKA HUMBADILISHA MTU, YAPATE KWANZA NDIPO TUJUE TABIA YAKO".
 
Ndo maana amepelekwa KIGOMA,,,,,NO CHALLENGES OVA THERE
Ndugu wana jamii katika kile kinachoonekana kulipana fadhila ndani ya serikali hii, aliyekuwa mbunge wa chalinze 2005-2010 RAMADHANI A MANENO, alishindwa vibaya kwenye kura za maoni mwaka 2010 baada ya kuwadanganya wapiga kura wake kwamba angejiendeleza kielimu,na hakufanya hivyo, mpaka anateuliwa mkuu wa wilaya ya KIGOMA elimu yake ni DARASA LA SABA_____________TAFAKARI.
 
Ndugu wana jamii katika kile kinachoonekana kulipana fadhila ndani ya serikali hii, aliyekuwa mbunge wa chalinze 2005-2010 RAMADHANI A MANENO, alishindwa vibaya kwenye kura za maoni mwaka 2010 baada ya kuwadanganya wapiga kura wake kwamba angejiendeleza kielimu,na hakufanya hivyo, mpaka anateuliwa mkuu wa wilaya ya KIGOMA elimu yake ni DARASA LA SABA_____________TAFAKARI.
.

Utasikia akijisifia darasa la saba la mkoloni equivalent to form Six ya sasa.
 
Na katiba haijasema elimu ya mkuu wa wilaya,ndo maana kuna PhD holders akina Kadeghe na mwanafunz wake Kiswaga Festo,alikuwepo mama Nchimbi Dr ambae leo ni RC lakin mwalim Mwantum Mahiza nae mwalim,so kigezo labda ujue kujipendekeza kwa wakubwa na kuitetea ccm hata kinafki
Mkulu anadai 'ukuu wa wilaya hausomewi'!
 
Wanasema huko hakuna kazi ya kutumia taaluma yeyote ndiyo maana ata ukiwa os wa ofisi kuteuliwa kuwa DC sio tatizo cha muhimu uwe mwanachama mtiifu wa CCM
 
Kwani kuna kazi gani ya kumshinda darasa la saba. Hiyo kazi ataiweza. Sijui in job description?
inaweza ikawa ni kuwadhihirishia wale wanaosema kuwa DC sio kazi ya kuwagharimu walipa kodi. Na kizuri zaidi safari hii imeeleweka zaidi kuwa ni wawakilishi wa CCM na wala sio wananchi kwa ujumla wao.

Kibaya zaidi ni kuwa hii tume ya Katiba imeshaanza kuleta mashka mashaka na huenda katika mapendekezo yao wasikifute hiki cheo!

Kwani kuna kazi gani ya kumshinda darasa la saba. Hiyo kazi ataiweza. Sijui in job description?
kweli kabisa...hata hivyo hao wenye degree na ma phd na ma doctor wametusaidia nini .....mkuu wa wilaya hana kazi yoyote ya kupiga hesabu hata gari haruhusiwi kuendesha hana haja hata ya kujua alama za barabarani zilizoandikwa stop au high hills ni kazi ya dereva na ofisini anasaidiwa na katibu muhutasi....wacha wafaidi muda wao karibu unaisha ...katiba na cdm 2015

Huyu jamaa alimaliza degree ya social works mwaka 2010 pale chuo cha ustawi. Tuandike vitu baada ya kufanya utafiti. Sio kila mtu aliyeteuliwa hana uwezo. Au ulitaka uteukiwe wewe.
 
Ndo maana amepelekwa KIGOMA,,,,,NO CHALLENGES OVA THERE
Mkuu thats true,na nipo ofisi na jamaa angu mmoja hapa anasema huyu bwana anamjua tokea kitambo hapo Bagamoyo kuwa hana lolote na hana ujenzi wa hoja zaidi ya ubabe,ngoja tumcheki atakuja na kasi gani hapa Kigoma ila mwenzie Mongella ndio alikua anapga siasa sana hapa namna ya kuilinda hii ccm,nashukuru alikoenda Arusha watamtia adabu na ubabe wake huo.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom