unajua mie ni mnene Nalendwa !unene wangu sio kvileee nipo km vj penny vile! sasa nijitumbukize humu thighs nje uwiiiiiiii!ila napenda sana fashoon
I see!, mie huwa naenda zaidi na zilizochanika kuanzia magotini au juu kidogo kama hiyo hapo, kuepuka kuonyesha thighs.
Wa mbuzi.......Upuuzi
mwee nataman mbn nikuone mamy !puliz ! mweeee nitatafuta moja nivae na high heels nitakupm uone !heheh msukuma mie sipatii picha wanangu watakavyonishangaa!
Umenichekesha eti watakushangaa!
Naona watoto huwa wanashangaa kwa nini mtu anavaa nguo ya kuchanika...lol!
Nitakuletea kwa pm, halafu utapatia sana hapo pa high heels. Torn na Tight jeans naona kama huwa zinanoga zaidi na heels.

Hahhaa shoga na heels unanogaaaaaaHeaven Sent unaeza vaa hiyo wewwe?
Ngoja nije nikupe tuitionunajua mie ni mnene Nalendwa !unene wangu sio kvileee nipo km vj penny vile! sasa nijitumbukize humu thighs nje uwiiiiiiii!ila napenda sana fashoon
Gal I see you, Mich yeew
Umenichekesha eti watakushangaa!
Naona watoto huwa wanashangaa kwa nini mtu anavaa nguo ya kuchanika...lol!
Nitakuletea kwa pm, halafu utapatia sana hapo pa high heels. Torn na Tight jeans naona kama huwa zinanoga zaidi na heels.
Yani ni cat walks zinakuja tu automatically, unaswing tu kama twiga lolgowjaz
kabisa shoga, unahitaji motivationahhhahaa mbona tuit!
Kama nakuona vile na hizo movementsYani ni cat walks zinakuja tu automatically, unaswing tu kama twiga lol
Movements za Nalendwa hizoKama nakuona vile na hizo movements
kabisa shoga, unahitaji motivation
Yani ni cat walks zinakuja tu automatically, unaswing tu kama twiga lol
Hiyo bustani ya matunda ganiShati bluu
Suruali njano
Sox kijani
Mkanda mweusi
Tai zambarau
Viatu rangi ya maziwa
Lazima ucheke