Darasa la CISA kuanza Desemba 3, 2018

mzee wa ndonga

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
1,108
88
True Ink Associates would like to Announce that the CISA (Certified Information Systems Auditor) Review Classes is scheduled to commence on Monday 03/12/2018, Dar Es Salaam City Center, Golden Jubilee Towers (PSPF Towers) 17th Floor. The course Duration is 5 weeks, 3 hrs a day, from Monday to Friday, starting from 17:00-20:00 hrs in the evening. The course Fee is TZS 800,000/= which includes course materials. For more information please Contact us through +255 713451713 or 0788 111237. Contact person: Sam Mujinja: Website:
www.trueinkassociates.co.tz
 
Hivi qualification za kusoma CISA zikoje?
 
CISA inahitaji mtu ambaye ana eleimu ya kuanzia Advanced diploma ila kama kasoma IT ama Accounts ama degree yoyote. kwa sababu sasahivi even a lawyer anaweza kusoma audit akafanya kazi kama Auditor, even mtu wa mazingira...
 
CISA Review Class started Yesterday 03/12/2018. Kama unahitaji hujachelewa, you can still join us.
For more information please Contact us through +255 713451713 or 0788 111237. Contact person: Sam Mujinja: Website:www.trueinkassociates.co.tz
 
True Ink Associates would like to Announce that the CISA (Certified Information Systems Auditor) Review Classes is scheduled to commence on Monday 03/12/2018, Dar Es Salaam City Center, Golden Jubilee Towers (PSPF Towers) 17th Floor. The course Duration is 5 weeks, 3 hrs a day, from Monday to Friday, starting from 17:00-20:00 hrs in the evening. The course Fee is TZS 800,000/= which includes course materials. For more information please Contact us through +255 713451713 or 0788 111237. Contact person: Sam Mujinja: Website:
www.trueinkassociates.co.tz

Hii kozi ikitokea kwa mfano, ukafanikiwa kupata venue UDSM na ukapunguza kidogo fee au hata kui-half kabisa, unaweza ukapata wanafunzi wengi zaidi wa kusoma kozi hii. Issue tu ni kuwaona management na kuona kama mnaweza kupata venue ya kupanga. Advantage nyingine ni kuwa ukipata venue UDSM, na baadhi ya walimu utapata hapa hapa ambao watakuwa ni part timers kwako, ambao gharama yao itakuwa ni ndogo, ukilinganisha na wale ambao ni wa kawaida
 
Asante sana, kwa ushauri wako mzuri,nimeupenda,
umeongea mambo ya msingi sana, nitafanya jitihada kuwasiliana na uongozi wa UDSM ( nimeshawasahau wengi kwani nilisoma hapo Bsc Computer science nikamaliza 2000). kama utaweza kunipa contact person itakuwa vema sana, lengo letu pia ni kuhakikisha vijana wetu wanajua nini maana ya IT/IS Audit, na jinsi gani inaweza kuwasaidia ktk soko la ajira na kujiajiri pia..
 
Kama mwaka 1999 ulikuwa mwaka wa pili, basi tutakuwa tulisoma wote kozi ya Dr. Mushi ya C+ Programmimg. Mimi kipindi hicho nilikuwa mwaka wa 4 BSc (Ed.). Niliamua ku-opt kozi ya second year kwa sababu mwaka wa 4 kozi zilikuwa chache sana na kipindi hicho kompyuta ilikuwa bado ngeni kwa kila mtu. Unaweza kuni-pm ukanitumia simu yako. Nina uhakika tutakuwa tunafahamiana hata sura!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom