Darasa la Android: Uliza matatizo yote duniani ya android, majibu 100%

Hivi unaweza uka root simu kwa kutumia simu yenyewe bila computer. Na vipi haiwezi kuleta shida yeyote.
 
Naomba kuuliza. Hivi lile tatizo linalotokea kwenye simu za android linasabababishwaga na nini.
Unaweza ukawa unatumia simu ghafla inakuja alert UNFORTUNATELY GOOGLE PLAY STOPPED, UNFORTUNATELY YOUTUBE STOPPED yani application nyingi mfano WHATSAPP. Mara instagram yaani vurugu alafu simu inakuwa nzito. Najaribu ku reset ila bado.
Tatizo itakuwa nini. Natumia HUAWEI Y541
 
Simu takataka! Husababishwa na ROM

Kuna mwenye shida hapa ?uliza nikujibu kabla ya asubuhi
Mi simu yangu sijajua tatizo n nini! Yan kwny app ya JF sipati notifications zozote hata mtu ani- quote au kun-like nakuwa sijui. Vilelive hat zile emoji hazipo kwny hii app hata ukitaka kuonyesha ishara flan no emoji. So nisaidie tatizo nn maana naupdate kila mara lakn tatizo haliishi.
 
Pengine sura za profile yako inatishia JF app!!!!!!

Jaribu kubadilisha mkuu....
 
Ukiingia tu uliza, swali lako, pia utajibiwa kwa sekunde pia weka ujuzi wako
Pili kuna matatizo ambayo sitaweza kusolve kutokana na huduma hizo hulipiwa
Mfano: Kuzuia matangazo-huduma hi unawalipa adsblock sasa sitaweza kusolve mfano wa matatizo kama hayo.

Huduma hizo na nyinginezo zifananazo na hizo sitazitoa humu kma spy, hack nkbali private kupitia njia ya simu au WhatsApp kutoka na sheria za Jf. Kwa msaada zaidi nipigie au sms kawaida 0753093869

Lakin kwa mambo ambayo nitakuelekeza na usielewe kutokana na kukosa picha, video, audio humu JF utanitext WhatsApp kwa number 0753093869
Pia tembelea Forum mpya hapa ya tuzungumze yenye uhuru na upana zaidi
www.tuzungumze.com

Kwa uundaji wa websites,blogs and forums professionally Wasiliana nami pia
nina simu yangu nokia 1 nahitaji niiroot lakini imegoma kabisa natumia kila app lakini wap(kingroot framaroot nk) lakini wap.... nitumie application ipi ili niweze kuiroot?
 
Tumia PC kuroot simu yako,tumia sp flashtools na kwa simu search custom recovery Google ya simu yako

Sent from my Infinix HOT 4 Lite using Tapatalk
 
Vipi mkuu, mimi nina shida nataja unisaidie kuinstall custom rom kwenye nexus 6p yangu, teyari firmware ninayo kwenye pc (lineage os 16) na pia simu nimeshainstall TWRP, so bado tu kuroot na kuinstall, kama upo dar naomba unijuze niweze kuja office unisaidie na pia unitajie ni kiasi gani utanifanyia hilo zoezi dogo. Asante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utatoa 20,000/=?

Back
Top Bottom