Darasa la Android: Uliza matatizo yote duniani ya android, majibu 100%

Ndio.....
sumsung inatumia line mbili (zantel na voda) na nimesajili voda kama line ya whatsapp na ndio huwa naweka bandle zote.
Nimekuja kugundua kuwa ninaowatumia msg za whatsapp zinaonyesha kutokea line ya zantel ambayo zaidi ya mwaka sijawahi kuweka kifurushi chochote!
Imekaaje hii wakuu!?

cc: pistmshai
 
Mkuu kuna storage device ngapi zinahusika na utunzaji wa mafail na apps kwenye simu? Nataka Ku install apps flani lakin naambiwa low storage capacity japo nikiangalia naona kama simu bado INA nafasi kubwa sana,,phone na SD card zina nafasi iliyopo kubwa sana mkuu! Msaada tafadhali
 
Mkuu kuna storage device ngapi zinahusika na utunzaji wa mafail na apps kwenye simu? Nataka Ku install apps flani lakin naambiwa low storage capacity japo nikiangalia naona kama simu bado INA nafasi kubwa sana,,phone na SD card zina nafasi iliyopo kubwa sana mkuu! Msaada tafadhali
Kuwa na na fasi sio tatizo
Ispokuwa uwezo wa simu inaweza kuendesha apps ngapi
 
Hello, simu yangu ni Samsung galaxy note 5, ipo rooted, je naweza updated vip kwenda android ingine, maana toka niinunue sijawahi up grade
 
Ukiingia tu uliza, swali lako, pia utajibiwa kwa sekunde pia weka ujuzi wako
Pili kuna matatizo ambayo sitaweza kusolve kutokana na huduma hizo hulipiwa
Mfano: Kuzuia matangazo-huduma hi unawalipa adsblock sasa sitaweza kusolve mfano wa matatizo kama hayo.

Huduma hizo na nyinginezo zifananazo na hizo sitazitoa humu kma spy, hack nkbali private kupitia njia ya simu au WhatsApp kutoka na sheria za Jf. Kwa msaada zaidi nipigie au sms kawaida 0753093869

Lakin kwa mambo ambayo nitakuelekeza na usielewe kutokana na kukosa picha, video, audio humu JF utanitext WhatsApp kwa number 0621072026.
Pia tembelea Forum mpya hapa ya tuzungumze yenye uhuru na upana zaidi
www.tuzungumze.com
Jamaa muhuni tu...katelekeza Uzi wake!
And gate + roid tizama icon yao utafahamu zaid kama umesoma electronics

Kwahyo hapo ulipo unasubilia maswali?

Nna sumsung j5 niya china ina lugha ya china nme shindwa kubadili lugha ....nmejarbu kubadili kweny setting lakn bado lugha inabak ya china
 
Habari ndugu. Naomba msaada kwa anayejua kuondoa ACTIVATION NOT COMPLETED. Ni Samsung S7 mpya. Imegoma kabisa nimefanya factory resert lakini inagoma na inaweka notification kwenye screen juu kushoto. MSAADA PLEASE.
 
Nina samsung note 1 ikipona nataka nikamhonge mchumba. 😃 yani ipo slow ina delay vibaya hata usipo washa data bado ina delay hadi inaboa. Nimejaribu kui reset mara kadhaa ila bado. Vipi tatizo lipo wapi...
 
Haiwez ku recover Ni older than
Nina samsung note 1 ikipona nataka nikamhonge mchumba. 😃 yani ipo slow ina delay vibaya hata usipo washa data bado ina delay hadi inaboa. Nimejaribu kui reset mara kadhaa ila bado. Vipi tatizo lipo wapi...
 
Huu uzi ndo nauona leo ina wezekana ili swali lisha wahi ulizwa umu naomba nijibiwe ama nipate link ya jibula swali hili

Kuna App nisipo kua nime tumia kwenye sim yang kwa mda mrefu basi kuna error ita jitokeza na hunisumbua sana

Error yenyewe ni

'''Unfortunately android.acore.has stopped"'

Ukija huu upuuzi nakua nashindwa kabisa kuitumia sim yang mpka niformat je kuna suluhisho tofauti na ili la kuiformat sim maana kufuta futa vitu mara kwa mara ni kisanga
 
Back
Top Bottom