Darasa la Android: Uliza matatizo yote duniani ya android, majibu 100%

Psiteshio72

JF-Expert Member
Nov 13, 2016
634
441
Ukiingia tu uliza, swali lako, pia utajibiwa kwa sekunde pia weka ujuzi wako
Pili kuna matatizo ambayo sitaweza kusolve kutokana na huduma hizo hulipiwa
Mfano: Kuzuia matangazo-huduma hi unawalipa adsblock sasa sitaweza kusolve mfano wa matatizo kama hayo.

Huduma hizo na nyinginezo zifananazo na hizo sitazitoa humu kma spy, hack nkbali private kupitia njia ya simu au WhatsApp kutoka na sheria za Jf. Kwa msaada zaidi nipigie au sms kawaida 0753093869

Lakin kwa mambo ambayo nitakuelekeza na usielewe kutokana na kukosa picha, video, audio humu JF utanitext WhatsApp kwa number 0753093869
Pia tembelea Forum mpya hapa ya tuzungumze yenye uhuru na upana zaidi
www.tuzungumze.com

Kwa uundaji wa websites,blogs and forums professionally Wasiliana nami pia
 
And gate + roid tizama icon yao utafahamu zaid kama umesoma electronics
mkuu sijasoma mambo hayo na ile icon yao huwa naiona kama maroboti ya kwenda anga za mbali naomba ufafanuzi zaidi
IMG_20171210_092419_519.JPG
 
Back
Top Bottom