Darasa huru ushauri elekezi wa Kilimo cha Mbaazi, dengu, Kunde na Choroko | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Darasa huru ushauri elekezi wa Kilimo cha Mbaazi, dengu, Kunde na Choroko

Discussion in 'Kilimo, Ufugaji na Uvuvi' started by Sabayi, Aug 9, 2012.

 1. Sabayi

  Sabayi JF-Expert Member

  #1
  Aug 9, 2012
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 2,321
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Habari Wakuu

  Nilipitia maonesho ya nane nane mwaka huu na moja ya kilimo kilichonivutia ni kilimo cha Dengu na Conflower/Brocolli.
  Mazao haya yana soko kubwa sana nje ya nchi hasa India kwa Dengu na ulaya/India kwa Conflower.

  Kwa wale wazee wa kanda ya kati kuanzia Dodoma,Singida,Tabora hadi Shinyanga Dengu inakubali sana maeneo hayo sina uhakika na maeneo mengine ila nadhani Morogoro inaweza kukubali (I'm not sure) ni zao la muda mfupi.

  Tuchangamkie hizi fursa ndugu zangu Tunapaswa kuwa wakulima tunaowaza kuexport mazao yetu sio kila siku tunapigana vikumbo kariakoo sokoni tu kwa mfano hii Conflower/Brocolli nimeambiwa gram 25 inauzwa 30000/= TZS sasa piga hesabu kwa ekari moja unaweza kupata kilo Kilo/Tani ngapi na unamake kiasi gani?

  Naomba kuwasilisha

  =========================================
   
 2. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #2
  Aug 9, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,156
  Likes Received: 114
  Trophy Points: 160
  mkuu hii bei ya hi conflower imenishitua,yani gram25 ni ths30,000?au typing error?so inamaana gram 250 ambayo ni robo kilo in ths 300,000 right?so kilo 1 ni ths 1,200,000...ikiwa utalima heka1 na ukapata 100hks inamaana una 120million right?
  Ebu fafanua mkuu juu ya bei.
   
 3. Sabayi

  Sabayi JF-Expert Member

  #3
  Aug 9, 2012
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 2,321
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Hiyo ndo bei niliyoambiwa na yule mtaalamu pale kwenye maonyesho wenye data zaidi watakuja kunisahihisha probably hiyo inaweza ikawa processed tayari
   
 4. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #4
  Aug 13, 2012
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,412
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 145
  Dengu ni zao potential sana, linatumika ktk kutengeneza biskuti na chokoleti nadhani. Ni kweli nami nina taarifa lina soko zuri sana hasa katika viwanda vya kutengeneza biskuti sio India tu hata hapa Nchini na nchi jirani katika Afrika Mashariki.
  Mkuu na mimi nimefikiria kulima hili zao, na hapa nipo katika mchakato wa kupata eneo huko wilaya ya Chemba, Dodoma.
  Tuendelee kutumia thread hii kuelimishana juu ya kilimo cha zao hili na masoko yake
   
 5. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #5
  May 16, 2014
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,052
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Mkoa wa Pwani Dengu inaota?
   
 6. M

  MahinaVeterani JF-Expert Member

  #6
  May 17, 2014
  Joined: Aug 8, 2013
  Messages: 714
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 0
  Kwenye hiyo Mikoa ongeza mkoa wa Mwanza na hasa Wilaya ya Missungwi. Ni kilimo kinachomuokoa Mkulima Mdogo baada ya zao la Pamba kuuawa. Ni zao linalilimwa baada ya Wakulima kuwa wamevuna Mazao mengine kama Mahindi, Maharage na Mpunga. Ni zao lisilohitaji Mvua nyingi (kwa uzoefu, sio utaalamu). Hivi sasa kuna Mbegu bora kabisa zilozotolewa na Taasisi zetu hapa hapa kama Ukiriguru, n.k.

  Dengu ina Soko kubwa sana hapa Nchini ukiachilia Nje ya Nchi. Ukulima Oyee!:smiling:
   
 7. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #7
  May 17, 2014
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,052
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Juzi nimepita kutoka Shinyanga kwenda Mwanza hapo kupitia Old Shinyanga nimeona wakulima wengi sana wamepanda Dengu.
   
 8. M

  MahinaVeterani JF-Expert Member

  #8
  May 18, 2014
  Joined: Aug 8, 2013
  Messages: 714
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 0
  Ni ukweli usiopingika. Mwezi uliopita nilikwenda Kwimba na Missungwi, Wilaya za Mkoa wa Mwanza zinazopakana na Shinyanga. Nilipata nafasi ya kuongea na Wakulima kadhaa. Ninadiriki kusema kuwa huenda Dengu ndilo Zao la Biashara linalioongoza na linalowapa Wakulima matumaini kizidi mengine katika Wilaya hizo mbili. Kwenye Nane-Nane ya Mwaka jana hapo Nyamhongolo, Mwanza nilioneshwa Mbegu mpya (hybrid) iliyotafitiwa na Kituo cha Utafiti wa Kilimo cha Ukiriguru ambayo ni bora kuliko mbegu za kienyeji. Kwa ufupi Dengu, kama ilivyo Choroko, Mbaazi, Ufuta, n.k., ni fursa nyingine katika Kilimo!
   
 9. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #9
  May 19, 2014
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,052
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Uzuri ni kwamba wanapanda dengu wakishavuna mahindi/mpunga na haitaki mvua au maji mengi.
   
 10. s

  simfeya80 Member

  #10
  May 20, 2014
  Joined: May 20, 2014
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  vipi kilimo cha dengu mkoa wa morogoro jaman kinakubali!?chor oko inasitawi vzr
   
 11. Mapolomoko

  Mapolomoko JF-Expert Member

  #11
  May 23, 2014
  Joined: Feb 16, 2013
  Messages: 1,755
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Dengu husitawi ktk udongo wa mfinyanzi na tifutifu. na inasitawi kwa umande harihitaji mvua. Morogoro linaweza kukubari
   
 12. m

  mzee wa manzese JF-Expert Member

  #12
  Aug 11, 2014
  Joined: Oct 31, 2012
  Messages: 636
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  Je mkoa wa Pwani dengu inastawi,
   
 13. Juma Said Kisimbo

  Juma Said Kisimbo Member

  #13
  May 9, 2015
  Joined: May 8, 2015
  Messages: 6
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 5
  Hey guys, mimi ni mgeni lkn ni mwenyeji Sana kwa kupita humu ndani nimekuwa nafuatilia michango ya akina Malila na wenzie Muda mrefu, Sasa safari hii nimelima mihogo na choroko Tanga maeneo ya Marungu natarajia kuvuna mwezi wa 6 mwishoni mkae mkao wa kula Insha Allah
   
 14. G

  GeONJC Member

  #14
  Aug 8, 2015
  Joined: May 1, 2014
  Messages: 75
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 15
  Mkuu tupe mrejesho wa choroko ulikuwaje kwenye mavuno..
   
 15. Juma Said Kisimbo

  Juma Said Kisimbo Member

  #15
  Aug 14, 2015
  Joined: May 8, 2015
  Messages: 6
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 5
  Mkuu mambo hayakuwa mazuri Sana ndege walizishambulia sana mlinzi wangu hakuwa makini kwenye ulinzi, hata hivyo choroko ilikuwa ni nyongenza tu kilimo kikuu kilikuwa ilikuwa ni zao la mihogo limekubali sana January natarajia mavuno mazuri tu mlio tayari nawakaribisha marungu Tanga
   
 16. M

  MMASSY JF-Expert Member

  #16
  Jan 6, 2016
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 224
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Nimefurahi kwa hamsa nzuri sana.Linalotakiwa hapa ni kumpata Mtaalamu aweze kutuelewesha kitaalamu kuwa ni udongo upi unafaa,ni hali ya hewa ipi inafaa,ni muda gani inachukua shambani,sokolake likoje ndni na nje ya nchi na namna ya kuyafikia masoko hayo pamoja na mambo mengine.Kama yupo aje atusaidie tuchangamkie fursa hii.
   
 17. Zogoo da khama

  Zogoo da khama JF-Expert Member

  #17
  Jan 6, 2016
  Joined: May 20, 2013
  Messages: 478
  Likes Received: 368
  Trophy Points: 80
  Mtaalam wa kilimo aje atujuze zaidi kuhusu ulimaji, maeneo/ aina ya aridhi inayofaa pia ni msimu gani. Maafsa ugani upo wapi?
   
 18. M

  MMASSY JF-Expert Member

  #18
  Jan 6, 2016
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 224
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Nipo Arusha sema kilimo nataka nikifanyie huko HAI-KILMANJARO ENEO AMBALO HUWA NI KAME MKUU
   
 19. mwenye shamba

  mwenye shamba JF-Expert Member

  #19
  Jan 6, 2016
  Joined: May 31, 2015
  Messages: 748
  Likes Received: 812
  Trophy Points: 180
  nadhani geita pia linakubalika.nataka kujua linachukua muda gani tangu kupanda hadi kuvuna,mahitaji ya zao hilo,masoko na utaalamu
   
 20. grand casual

  grand casual JF-Expert Member

  #20
  Feb 5, 2016
  Joined: Aug 27, 2014
  Messages: 242
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 45
  Mkuu hebu tupe feedback ya mihogo kwa heka moja unatoa tani ngapi? Juma
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...