Darasa huru: Jifunze kwa waliofanikiwa na hata walioshindwa pia

Gerald Robert

JF-Expert Member
Jan 2, 2013
337
219
Jifunze kwa waliofanikiwa lakini usiwadharau walioshindwa kwakuwa hata kwawalioshindwa lipo jambo ambalo utaweza kujifunza kutokana na kushindwa kwao.

By Mtumishi Gerald Robert
 
Hiyo ni hakika...tatizo kubwa ninaloliona ni kupata access ya waliofanikiwa ni ngumu sana! Ila kwa waliofeli wapo wengi tuu.... hata nanihi kashafeli tayari sema anajikaza tuu kiume!! Nimejifunza kitu kutoka kwake!
 
Back
Top Bottom