Upo kimya sana man nasubili muendelezoDafi
Hongera
Tea ndiyo IC?
Ok, mkuu napata shida kwenye kuchagua soldering gun...nichukue yenye watt ngapi??Yess man ndio ic hiyo
kuchoma vifaa vya kieletroniki mfano amplifier yenyewe + Tv....Unataka kwajiri ya shughuli zipi mkuu
Mambo mengiHadi leo mkuu
Uko seriously?
Shukrani mkuu.Watts 60 ni medium
Ila waweza adjust gun bit kama unahitaji
Hizo symbol za capacitor mbona zinatofautiana? Hebu nipe elimu kidogo.
Hizo symbol za capacitor mbona zinatofautiana? Hebu nipe elimu kidogo.
Shukrani mkuuHizo zenye mistal miwili sawa ni ceramic capacitors
ambazo unaweza kuzifunga vyovyote bila ya polarity yaan unaiweka tu
View attachment 1894114
Kwa lugha nyingine ni non polarized capacitors
Ila hizo zenye mistar miwili ila mmoj wame shed kivuli ni polarized capacitors
Ambazo unapoifunga lazima uzingatie polarity na ukiweka tofauti itaungua au kukupa majibu tofauti ikilinganishwa na wapi ilipowekwa
Umenielewa? Au nijazie