Darasa huru, Jifunze hapa kusuka amplifiers

[mention]Zabron Hamis [/mention]
Nmekumbuka
Anzia huku kwanza
 
hongera aisee, mda sasa wa ku invest kwenye power supply nzuri, dual switching-smps supply ya walau +/-12Vdc, 2A

umesema unahitaji ya +/-30V smps, inabidi

a. iwe ya low noise (AC na DC)
b. ya high wattage (high current ) ku run speakers za low Ohms (impedance) bila kukwaruza ,
c. dual power mode, kuifanya amplifier iwe fidel (Hi Fi)


inayotune output voltage ni iyo IRFXX IC, inayo affect output current ni izo inductors upande wa output na size ya izo transformer (flyback)

kelele (AC noises) zinapunguzwa na izo AC line filters upande wa input kabisa (line capacitors na common-mode inductors)

output pia una capacitors za kutosha kupunguza DC noises

izo inductors za output(toroidal cores) hua ni za kusuka , jipange kwenye iyo flyback transformer, coils zake za kusuka nene kupata output watts kubwa , na ukinunua bei ni mkasi
Ushawah jarbu
 
Kwahyo basii kwenye smps umeme 220v ac zikisha ingia unafikia kwenye diode
Diode kazi yake ni kugeuza umeme kutoka ac kwenda dc kwa direction moja
Kwahyo basi umeme unaotoka kwenye diode hizi hua ni dc ila hauwi dc pure
Yaan namaanisha hauwi umeme mnyoofu kabisa kwasababu
Umeme wa ic ni umeme unaotembea kwa kupanda na kushuka ila dc ni umeme unaotembea kwa mnyoofu mmja bila waves(mawimb)
Kwahyo lazima ziwekwe capacitors ili ku balance na kuuwa hizo waves za current (ntaielezea baadae jindi inavyouwa )
Kwahyo bas umeme jliotoka kwenye diode hiyo ukishapita kwenye capacitors hapo umeme unakua umekwisha tulizwa na hua dc pure kabisa
Lakini kwann inaitwa smps ni kwasababu umeme ukitoka hapo huingizwa kwenye transistors maaluumu kwajili ya kufanya oscillating na hapa ndipo jina la power supply hi linapokuja
Transistor hizi huitwa power switch transistor
Hizi huchukua umeme huo na kuswitch kwa sekunde kuingia kwenye transformers ili transfom hiyo itoe volts chache ila kwa matumizi mengi




..vuta pumzi kidogo kisha nikuelezee vyema kuhusu hilo
Mfano kwenye amplifier kuna kua na raman zako kadhaa umezisuka Kwahyo transformer hiyo ndio itagawa umeme kwa viwango tofauti tofauti unaweza kuta transformer inatoa volt 12v 25v na 6v
Lakini yenyewe iliingiza 230v pekee
Mkuu hatar sana wewe

Sent from my SM-G930F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom